kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,746
$105bn lost as jumbos killed in TZ - Business | The Citizen
Yaani kwa miaka mitano 2010 - 2014 tumepoteza 60% ya Tembo, ni vema tukatafakari ndani ya hii miaka mitano ni nani kiongozi wa nchi na ni kiongozi yupi wa CCM alihusishwa na biashara hii haramu ya meno Tembo na je tumeshuhudia kila tukio la wanaokamatwa na meno ya Tembo wachina hawakosekani na ni chama kipi Swahiba na hawa wachina?
Ukipata majibu ya hayo maswali utagundua wazi nani yupo nyuma na biashara hii.