Dola imefika 1860 toka 1200 mwaka 2005

Dola imefika 1860 toka 1200 mwaka 2005

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
5,805
Reaction score
4,374
Mwaka 2005 dola ya marekani ilikuwa na dhamani 1200 dhidi ya shilingi lkn kutoka mwaka hadi 2015 dola imefikia dhamani 1860 dhidi ya sh je haya ni maendeleo?deni la taifa limekuwa kwa kasi kubwa sana kutoka trion nane mwaka 2005 hadi trion 28 mwaka 2015 hii ni hatari sana kwa uchumi wa nchi
 
na wapigwe tu.....ndio hapar ya mujin, haijalishi ni mwana uchumi wala nn

tii sheria bila shuruti" ndicho tunachokijua
 
Hadi nyerere anaachia madaraka thamani ya shilingo dhidi ya dola ilikuwa tsh150, mwinyi akachukua kijiti hadi tsh 500, mkapa kachukua kijiti na kufikisha tsh1200, na kikwete tsh 1800.
Conclusion:Tangu tupate uhuru hakuna hata rais aliyefanikiwa kudhibiti thamani ya shilingi dhidi ya dola!
 
Halafu hamna anaeshituka wala kuhoji au hata kutolea maelezo, inatia hasira sana.

Mafuta yanashuka kwenye soko la dunia, $ inapanda dhidi ya shilingi.

Kazi kwa Mtanzania,acha tuendelee kuumia labda tutajua kuwa ccm ni ndio tatizo.
 
Nafikiri kwa sauti ya juu. Hivi mpaka sasa baada ya miongo mitano ya uhuru hatuna think tank inayojaribu kutoa majibu ya matatizo yetu au tatizo ni kusikilizwa?
 
Watanzania ni manyumbu sana , hayaelewi chochote . kwa ugumu huu wa maisha bado wanashabikia siasa za maji taka , uccm na uchadema , utaona uchaguzi huu watarudisha watu wale wale baada ya miezi mitatu wanaanza kulalamika
 
Hadi nyerere anaachia madaraka thamani ya shilingo dhidi ya dola ilikuwa tsh150, mwinyi akachukua kijiti hadi tsh 500, mkapa kachukua kijiti na kufikisha tsh1200, na kikwete tsh 1800.
Conclusion:Tangu tupate uhuru hakuna hata rais aliyefanikiwa kudhibiti thamani ya shilingi dhidi ya dola!

Vipi kuhusu deni la taifa?toka 1962 hadi mwaka 2005 deni lilikuwa trion 8 lkn sasa limefikia sh trion 28
 
mkuuu ni shidaa sana aisee mm nilikuwa kunamtu kasema nintumie pesa fulani ili aweze kuniagizia/kuninunulia mashine flan online kituko kikaanza hivi jioni nimepiga hesabu vizuri kuwa $ dola ni sawa na 1700 tz kufika asubuhi namtumia pesa benki namaliza naangalia rate ya dola nakuta ni sh 1751 nikachoka ikabidi nimwambie jamaa nyingine nitamtumia kwa tigo pesa aliyoongezeka.
kufika jioni jamaa analipa ananambia rate ya dola ni 1789 duu nikachoka now ww unanambia 1800 Mpaka jk anaondoka madarakani hakika itafika mpaka 3000 au 2500
 
Mwaka 2005 dola ya marekani ilikuwa na dhamani 1200 dhidi ya shilingi lkn kutoka mwaka hadi 2015 dola imefikia dhamani 1860 dhidi ya sh je haya ni maendeleo?deni la taifa limekuwa kwa kasi kubwa sana kutoka trion nane mwaka 2005 hadi trion 28 mwaka 2015 hii ni hatari sana kwa uchumi wa nchi

Mwanauchumi na Naibu Waziri wa Fedha yu wapi? Haoni hili?
 
mkuuu ni shidaa sana aisee mm nilikuwa kunamtu kasema nintumie pesa fulani ili aweze kuniagizia/kuninunulia mashine flan online kituko kikaanza hivi jioni nimepiga hesabu vizuri kuwa $ dola ni sawa na 1700 tz kufika asubuhi namtumia pesa benki onamaliza naangalia rate ya dola nakuta ni sh 1751 nikachoka ikabidi nimwambie jamaa nyingine nitamtumia kwa tigo pesa aliyoongezeka.
kufika jioni jamaa analipa ananambia rate ya dola ni 1789 duu nikachoka now ww unanambia 1800 Mpaka jk anaondoka madarakani hakika itafika mpaka 3000 au 2500
Nilitaka niagize kagari used from Japan nimeamua kuahirisha kwanza bajeni niliyo panga haiwezekani tena ilikua kwa dola 1700 makadirio ya juu.
 
maana yake imeporomoka kwa 55%!! ninachojiuliza toka 2005 hadi sasa mishahara imepanda 55%? ukiachana na kima cha chini. wafanyakazi wanaumizwa sana na wataishia kuvaa mitumba hadi kufa.
 
Back
Top Bottom