Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 5,581
- 10,110
Dollar ya marekani sasa imeanza tena kushuka na kufika 2450 huku ikitarajiwa huenda ikagonga 2280 , hata hivyo haitegemei kusalia hapo kwa muda mrefu inaweza kupanda tena kuelekea mwishoni mwa mwaka huu mpaka january 2026. Kama itapdanada tena kwa watu watakao nunua dollar 2300 na kuiuza 2700 watakuwa na ongezeko la karibu 400 kwa kila dollar moja. Nifursa kwako nunua dollar hifadhi uza zikipanda.