Dr.W.Slaa, umenishangaza sana kutaka kuhalalisha gongo wakati madhara yake kiafya na kiuchumi ni makubwa sana.
Ningekuelewa na ningekupigia debe na kukuunga mkono ungetangaza kuwa ukichaguliwa utahalalisha bangi lakini gongo? ni no no no no, unaonekana ni kituko tu.
Kama tulivyoona juzi juzi Uruguay wamehalalisha bangi baada kulijadili sana hilo suala bungeni kwao.
Nakushauri usome kuhusu bangi na manufaa yake kiafya, kiuchumi, kijamii na uanze kampeni kwa kutuahidi kuwa tukikuchaguwa utahalalisha bangi. Pia, sio siri, Tanzania hii utawapata wengi sana wenye kukuunga mkono. Nna-uhakika Ben Saanane na Yericko Nyerere watakuwa mstari wa mbele kukuunga mkono kwenye hili.
Chadema na Slaa lifanyieni hili kazi, nna-uhakika hata Mwenyekiti Mbowe ataniunga mkono kwenye hili kwani naye ni mdau, pale Bilicanas bangi inauzwa nje-nje.
Gongo, mnhhh, pale uli-buugi man!
cc Josephine
mods hii ni lugha ya kuudhi,
Mods hii ni lugha ya kuudhi,
Kumbe unajua maana ya kuudhi eeh! -Kwa wengine hii lugha ni ya kufurahisha. Endelea kupambana wacha kulialiaMods hii ni lugha ya kuudhi,
Kikwete kapokea ushauri wako,mzuri atafanyia kazi
Mods hii ni lugha ya kuudhi,
FaizaFoxy yule mkuu wa zenj aliyemaliza muda wake alikuwa mdau..Na Bongo pia tunawajua watumiaji..Sema sababu haina kiwango na pesa za ufisadi zipo wanakula za bei...
Kijiti mbona hakina shida??
Naona hujazungumzia unga..Au ndiyo sera ya CCM?
Unajuwa Dokta Slaa ndiye alitangaza kuhalalisha gongo ili apate wanywa gongo wanaomuunga mkono.
Kwa muono wangu, watumiajai wa bangi ni wengi zaidi kuliko wanywa gongo hapa Tanzania. Namshauri abadili turufu, turufu ya gongo haina mali. Akitangaza kuwa akipewa uongozi atahakikisha bangi inakuwa halali hapo atakuwa kalamba dume.
Dr.W.Slaa, umenishangaza sana kutaka kuhalalisha gongo wakati madhara yake kiafya na kiuchumi ni makubwa sana.
Ningekuelewa na ningekupigia debe na kukuunga mkono ungetangaza kuwa ukichaguliwa utahalalisha bangi lakini gongo? ni no no no no, unaonekana ni kituko tu.
Kama tulivyoona juzi juzi Uruguay wamehalalisha bangi baada kulijadili sana hilo suala bungeni kwao.
Nakushauri usome kuhusu bangi na manufaa yake kiafya, kiuchumi, kijamii na uanze kampeni kwa kutuahidi kuwa tukikuchaguwa utahalalisha bangi. Pia, sio siri, Tanzania hii utawapata wengi sana wenye kukuunga mkono. Nna-uhakika Ben Saanane na Yericko Nyerere watakuwa mstari wa mbele kukuunga mkono kwenye hili.
Chadema na Slaa lifanyieni hili kazi, nna-uhakika hata Mwenyekiti Mbowe ataniunga mkono kwenye hili kwani naye ni mdau, pale Bilicanas bangi inauzwa nje-nje.
Gongo, mnhhh, pale uli-buugi man!
cc Josephine
Achana na CCM. Tunataka babu aingie na turufu ya bangi tumpe kura zetu, si kutujia na mambo ya gongo.