Dokta Slaa Ungesema Utahalalisha Bangi Ningekuelewa...

Status
Not open for further replies.
Unajuwa Dokta Slaa ndiye alitangaza kuhalalisha gongo ili apate wanywa gongo wanaomuunga mkono.

Kwa muono wangu, watumiajai wa bangi ni wengi zaidi kuliko wanywa gongo hapa Tanzania. Namshauri abadili turufu, turufu ya gongo haina mali. Akitangaza kuwa akipewa uongozi atahakikisha bangi inakuwa halali hapo atakuwa kalamba dume.

Lumumba mnapenda sana kuongelea mambo rahisi!

"Waliwapiga vikongwe kisha wakawalazimisha wafanye mapenzi na miti"-Ripoti Bungeni ya James Lembeli(MB)
 
Slaa bado sijamuelewa kabisa anamaanisha nini"

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Ripoti ya Lembeli umeielewe?

"Bubu aliyekwenda kuulizia habari za baba yake kwa ishara;akachukuliwa akapelekwa nje ya kambi akapigwa risasi 3"-Lembeli kaliambia Bunge juzi
 
Dr.W.Slaa, umenishangaza sana kutaka kuhalalisha gongo wakati madhara yake kiafya na kiuchumi ni makubwa sana.

Ningekuelewa na ningekupigia debe na kukuunga mkono ungetangaza kuwa ukichaguliwa utahalalisha bangi lakini gongo? ni no no no no, unaonekana ni kituko tu.

Kama tulivyoona juzi juzi Uruguay wamehalalisha bangi baada kulijadili sana hilo suala bungeni kwao.

cc Josephine
mkuu, ikiwa ushauri huu ni halali basi ungewashauri wa upande wako ili wananchi washindaishe hizo sera mbili konyagi na bangi. Nakukumbusha kuwa Slaa hakutaka gongo ihalalishwe kwa kunywa bali wanachi watengeneze gongo kisha iuzwe kwenye viwanda vidogo iwe distilled/refined ili kuondoa sumu na kuwa halali kwa matumizi. njia hii itaongeza ajira na kipato kwa nchi na watu pia. kadhalika haitakuwa tena hatari kwa afya kwa watumiaji wa kawaida. maana ujue kilevi chochote huwa hatari au si hatari kulingana na kiwango cha matumizi na afya ya mnywaji iwe bia au chchote
 
Rose Mayemba unaonaje hili swala la bangi.
hebu tupe formula

FaizaFoxy KWA HILI LA BANGI ATAUNGWA MKONO NA MAKAMANDA WENGI NA WANAJUA UMUHIMU WAKE.

"Kutokana na UKATILI wake kwa raia;kambi ya mahojiano ya Ruaha ilikuwa inaitwa Guantanamo"-Ripoti ya Kamati ya Lembeli!

Afafhali ya Makaburu kuliko CCM
 
Last edited by a moderator:
mkuu, ikiwa ushauri huu ni halali basi ungewashauri wa upande wako ili wananchi washindaishe hizo sera mbili konyagi na bangi. Nakukumbusha kuwa Slaa hakutaka gongo ihalalishwe kwa kunywa bali wanachi watengeneze gongo kisha iuzwe kwenye viwanda vidogo iwe distilled/refined ili kuondoa sumu na kuwa halali kwa matumizi. njia hii itaongeza ajira na kipato kwa nchi na watu pia. kadhalika haitakuwa tena hatari kwa afya kwa watumiaji wa kawaida. maana ujue kilevi chochote huwa hatari au si hatari kulingana na kiwango cha matumizi na afya ya mnywaji iwe bia au chchote

Nadhani umesahau kuwa upande wangu ndio tunaongoza nchi kwa sasa, na hatuna haja ya kutafuta turufu, tulizotumia zimetuwezesha kushika dola.

Hilo la kutengeneza gongo ni wazo la zamani sana, ndio lilikuwa wazo la kutengenezwa kiwanda cha konyagi enzi hizo za Nyerere, wapika gongo wote waliambiwa wakauze kiwandani. Matokeo? kiwanda kikafa kwa wizi, watu badala ya kuuza konyagi wakawa wanauza gongo kwenye chupa za konyagi. Ni wazo la Nyerere lililoshindwa kama yalivyoshindwa mawazo yake 98%.

Sasa hivi mawazo mapya, Uruguay wamehalalisha na ina lipa kweli kweli, babu ana mawazo ya kizamani lazima tumsaidie anapokwenda kombo maana Zitto hayupo tena kumpa nasaha za turufu.

Badala ya kuhalalisha gongo, mwacheni babu akamate turufu ya bangi.
 
Ripoti ya Lembeli umeielewe?

"Bubu aliyekwenda kuulizia habari za baba yake kwa ishara;akachukuliwa akapelekwa nje ya kambi akapigwa risasi 3"-Lembeli kaliambia Bunge juzi

Na Lembeli kishakuwa chadema? kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Lumumba mnapenda sana kuongelea mambo rahisi!

"Waliwapiga vikongwe kisha wakawalazimisha wafanye mapenzi na miti"-Ripoti Bungeni ya James Lembeli(MB)

Lembeli kishakuwa chadema? kwi kwi kwi teh teh teh! Na hizo kama ti za bunge bila ya kuanzishwa kwa ubunifu wa Kikwete mngeyajuwa yote hayo?
 
Inawezekana hata babu anapata kijiti, maana hili la kuja na hoja za gongo, mnhhh!

Kuna mtu kaniambia kuwa Slaa alikuwa anataka kuongea kuhusu Katiba Mpya ila alipigwa "kipapai" akajikuta anaongea kuhusu gongo.

Mzee kaenda Kasulu bila "maandalizi"...
 
Nakukumbusha kuwa Slaa hakutaka gongo ihalalishwe kwa kunywa bali wanachi watengeneze gongo kisha iuzwe kwenye viwanda vidogo iwe distilled/refined ili kuondoa sumu na kuwa halali kwa matumizi

Yaani mtu atengeneze gongo, amezungukwa na wateja halafu asiwauzie apeleke kiwandani ili kiwanda kitengeneze kinywaji cha gharama ambayo wateja hao hawataimudu!

Hivi vijana wa Bavicha mbona mko WATUPU sana upstairs?

Hivi hiyo spirit kwani sasa hivi haipo madukani? Kwanini wanywa gongo hawajaenda kuinunua?
 
Let's be honest gongo inanywewa na itaendelea kunywewa tu weather u like it or not I'd rather it shud be legal na itengenezwe katika standards zinazokubalika like other spirits. Pombe yoyote ina madhara mbona huongelei sigara ambazo ndio kinara ya cancer and other heart diseases? Tuache double standards

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Rushwa inatolewa na kupokewa. Itaendelea kutolewa na kupokewa.

Unaonaje tukiifanya rushwa iwe legal?
 
Let's be honest gongo inanywewa na itaendelea kunywewa tu weather u like it or not I'd rather it shud be legal na itengenezwe katika standards zinazokubalika like other spirits. Pombe yoyote ina madhara mbona huongelei sigara ambazo ndio kinara ya cancer and other heart diseases? Tuache double standards

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Soma post #33
 
Faiza Foxy sijui unatumia kilevi gani na wewe (labda andasi ya miraa inakusumbua, which is illegal in Tanzania) maana walevi wa gongo na wabangi wote matatizo yao almost sawa in economical terms. Hivi wewe unamwona Yericko yupo sawa (aliekiri yeye ni Jah) bangi inaleta 'schizophrenia' which is the cause of "pathological lying". Jamaa keshadai yeye ni mpelelezi under the pseudo name of "Jason Bourne" ambae alikuwa akiongea na usalama wa taifa na kuwa karibu na Mwakyembe wakati wasakata la sumu.

Ameshadai yeye ni mtoto wa JKN wakuzaliwa, mara alifanya operesheni za kumchunguza zitto na simu sijui na majasusi wa CDM kupata contact zake na CCM, mara akadai kuhusu little syria or whatever somewhere near the state house.

Hivi wewe huyu mtu unamuona mzima au bange. I dont want to believe nawewe labda unakuwa under the influence of andasi unapobezana nae maana hata mods washachoka na hadithi za bwana Yericko, if i am honest hata mimi pana wakati alishaniteka kumbe bange tu zinamfanya atunge (halafu wewe unaona bange hazina madhara, hao wakina Yericko hawatakiwi uraiani bali in mental hospital hiyo hela utaitolea wapi ya kuwagharamia na bange unayo inada; talk of economics.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom