Dokta Slaa Ungesema Utahalalisha Bangi Ningekuelewa...

Status
Not open for further replies.
unajua chemical composition ya gongo? soma post ya rose mayemba of how to separate ethanol na alcohol gongo iwe safi kama wiski au konyangi sio unapayuka2
 
Kimtokacho mtu ndicho kimjaacho,naona mnamshangaa Jk kwa kutohalalisha biashara yenu ya madawa ya kulevya.
 
Lembeli kishakuwa chadema? kwi kwi kwi teh teh teh! Na hizo kama ti za bunge bila ya kuanzishwa kwa ubunifu wa Kikwete mngeyajuwa yote hayo?

Inasikitisha sana jinsi unavyoandika hapa, inaonyesha kabisa kuwa unafurahia sana matukio yaliyotokea kwenye operation tokomeza ujangili.
Wewe na wenzako mnaonyesha kufurahishwa na matukio ya wananchi kuteswa kwenye operation hiyo.
Badala ya kuyalaani matukio hayo ninyi mnayatukuza.
Inasikitisha sana.
 
Inasikitisha sana jinsi unavyoandika hapa, inaonyesha kabisa kuwa unafurahia sana matukio yaliyotokea kwenye operation tokomeza ujangili.
Wewe na wenzako mnaonyesha kufurahishwa na matukio ya wananchi kuteswa kwenye operation hiyo.
Badala ya kuyalaani matukio hayo ninyi mnayatukuza.
Inasikitisha sana.

Ingekuwa tunayafurahia tungesimamisha zoezi na kuunda kamati maalum ikachunguze? unanchekesha!

Umekosa hoja au ni masalia ya gongo la jana?
 
Dr.W.Slaa, umenishangaza sana kutaka kuhalalisha gongo wakati madhara yake kiafya na kiuchumi ni makubwa sana.

Ningekuelewa na ningekupigia debe na kukuunga mkono ungetangaza kuwa ukichaguliwa utahalalisha bangi lakini gongo? ni no no no no, unaonekana ni kituko tu.

Kama tulivyoona juzi juzi Uruguay wamehalalisha bangi baada kulijadili sana hilo suala bungeni kwao.

Nakushauri usome kuhusu bangi na manufaa yake kiafya, kiuchumi, kijamii na uanze kampeni kwa kutuahidi kuwa tukikuchaguwa utahalalisha bangi. Pia, sio siri, Tanzania hii utawapata wengi sana wenye kukuunga mkono. Nna-uhakika Ben Saanane na Yericko Nyerere watakuwa mstari wa mbele kukuunga mkono kwenye hili.

Chadema na Slaa lifanyieni hili kazi, nna-uhakika hata Mwenyekiti Mbowe ataniunga mkono kwenye hili kwani naye ni mdau, pale Bilicanas bangi inauzwa nje-nje.

Gongo, mnhhh, pale uli-buugi man!

cc Josephine


Kumbe FF unavuta BANGI!!!!!! :bange: Ndo maana unapost mambo ya kibangi bangi... Loh! Mwanamke hatari wewe....
 
Kumbe FF unavuta BANGI!!!!!! :bange: Ndo maana unapost mambo ya kibangi bangi... Loh! Mwanamke hatari wewe....

Bangi mimi sivuti, nnaitumia kwa matumizi mingine.

Kama ni wewe kwenye avatar yako, unaonesha ni mdau mzuri tu. Unaonaje Dokta wa Kanoni badala ya kutumia turufu ya gongo akatumia turufu ya bangi?
 
Ingekuwa tunayafurahia tungesimamisha zoezi na kuunda kamati maalum ikachunguze? unanchekesha!

Umekosa hoja au ni masalia ya gongo la jana?

Matusi ndio jadi yenu.....

Pamoja na matusi yako... bado hawa jamaa wataendelea kuwa 'ma-boss' wako katika i'idara' ya matusi..!!

hqdefault.jpg



peter-serukamba-april4-2013.jpg
 
kamati kuu ya chadema asiyevuta bangi ni zitto na mzee mtei tu.
kwa hiyo ile picha iliyochorwa na wakenya haikuwa bunge letu, inawezekana alikosea ni cc ya chadema?sasa yule mwanamke aliekaa kama spika alikua nani? Unataka kuniambia ni phina?
 
kutokana na hali mbaya sana ya maambukizi ya ukimwi kwa vijana nawashauri wahalalishe mipira ya kiume na kike mashuleni kwa ajili ya kinga kwa vijana wetu
 
Dr.W.Slaa, gongo haina mshiko, pata mikoba hii ya turufu ya bangi:

There is no plant on Earth more condemned than marijuana. We're talking about a living organism which governments have taken upon themselves to designate as an illegal substance. Despite no existing evidence of anyone ever dying of a marijuana overdose, possession of this plant is still illegal in many parts. Marijuana has been found to suppress cancer, reduce blood pressure, treat glaucoma, alleviate pain and even inhibit HIV. It is an antioxidant, anti-inflammatory and neuroprotective. Can you understand more now why it's illegal?
4152719166_8fcf72f726_z.jpg

No Independent Study Has Ever Linked Marijuana To Psychosocial Problems

Soma zaidi: Still Believe Nature Got It Wrong? Top 10 Health Benefits of Marijuana | True Activist
 
Last edited by a moderator:
Wana-CCM wa JF wakiongozwa na FaizaFoxy wamechekelea sana unyama wote katika operation tokomeza ujangili..!!

UNYAMA.jpg



Operation+Tokomeza.jpg

Yani nimeumia sana kuona hizi picha :(..Kikwete tumeona mengi kwenye utawala wako...

Mungu akusaidie..Akufungue macho uone yanayotendeka..
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom