FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,171
- 107,698
Dr.W.Slaa, umenishangaza sana kutaka kuhalalisha gongo wakati madhara yake kiafya na kiuchumi ni makubwa sana.
Ningekuelewa na ningekupigia debe na kukuunga mkono ungetangaza kuwa ukichaguliwa utahalalisha bangi lakini gongo? ni no no no no, unaonekana ni kituko tu.
Kama tulivyoona juzi juzi Uruguay wamehalalisha bangi baada kulijadili sana hilo suala bungeni kwao.
Nakushauri usome kuhusu bangi na manufaa yake kiafya, kiuchumi, kijamii na uanze kampeni kwa kutuahidi kuwa tukikuchaguwa utahalalisha bangi. Pia, sio siri, Tanzania hii utawapata wengi sana wenye kukuunga mkono. Nna-uhakika Ben Saanane na Yericko Nyerere watakuwa mstari wa mbele kukuunga mkono kwenye hili.
Chadema na Slaa lifanyieni hili kazi, nna-uhakika hata Mwenyekiti Mbowe ataniunga mkono kwenye hili kwani naye ni mdau, pale Bilicanas bangi inauzwa nje-nje.
Gongo, mnhhh, pale uli-buugi man!
cc Josephine

Last edited by a moderator: