Dokta Slaa Ungesema Utahalalisha Bangi Ningekuelewa...

Status
Not open for further replies.

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,279
2,000
Dr.W.Slaa, umenishangaza sana kutaka kuhalalisha gongo wakati madhara yake kiafya na kiuchumi ni makubwa sana.

Ningekuelewa na ningekupigia debe na kukuunga mkono ungetangaza kuwa ukichaguliwa utahalalisha bangi lakini gongo? ni no no no no, unaonekana ni kituko tu.

Kama tulivyoona juzi juzi Uruguay wamehalalisha bangi baada kulijadili sana hilo suala bungeni kwao.

Nakushauri usome kuhusu bangi na manufaa yake kiafya, kiuchumi, kijamii na uanze kampeni kwa kutuahidi kuwa tukikuchaguwa utahalalisha bangi. Pia, sio siri, Tanzania hii utawapata wengi sana wenye kukuunga mkono. Nna-uhakika Ben Saanane na Yericko Nyerere watakuwa mstari wa mbele kukuunga mkono kwenye hili.

Chadema na Slaa lifanyieni hili kazi, nna-uhakika hata Mwenyekiti Mbowe ataniunga mkono kwenye hili kwani naye ni mdau, pale Bilicanas bangi inauzwa nje-nje.

Gongo, mnhhh, pale uli-buugi man!

cc Josephine
 
Last edited by a moderator:

nguvumali

JF-Expert Member
Sep 3, 2009
4,898

Kikwete kapokea ushauri wako,mzuri atafanyia kazi
 
Last edited by a moderator:

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,279
2,000
Kikwete kapokea ushauri wako,mzuri atafanyia kazi

Unajuwa Dokta Slaa ndiye alitangaza kuhalalisha gongo ili apate wanywa gongo wanaomuunga mkono.

Kwa muono wangu, watumiajai wa bangi ni wengi zaidi kuliko wanywa gongo hapa Tanzania. Namshauri abadili turufu, turufu ya gongo haina mali. Akitangaza kuwa akipewa uongozi atahakikisha bangi inakuwa halali hapo atakuwa kalamba dume.
 
prs

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
2,644
2,000
FaizaFoxy yule mkuu wa zenj aliyemaliza muda wake alikuwa mdau..Na Bongo pia tunawajua watumiaji..Sema sababu haina kiwango na pesa za ufisadi zipo wanakula za bei...

Kijiti mbona hakina shida??

Naona hujazungumzia unga..Au ndiyo sera ya CCM?
 
Last edited by a moderator:

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,279
2,000
FaizaFoxy yule mkuu wa zenj aliyemaliza muda wake alikuwa mdau..Na Bongo pia tunawajua watumiaji..Sema sababu haina kiwango na pesa za ufisadi zipo wanakula za bei...

Kijiti mbona hakina shida??

Naona hujazungumzia unga..Au ndiyo sera ya CCM?

Achana na CCM. Tunataka babu aingie na turufu ya bangi tumpe kura zetu, si kutujia na mambo ya gongo.
 
kenwood

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
757
195
Unajuwa Dokta Slaa ndiye alitangaza kuhalalisha gongo ili apate wanywa gongo wanaomuunga mkono.

Kwa muono wangu, watumiajai wa bangi ni wengi zaidi kuliko wanywa gongo hapa Tanzania. Namshauri abadili turufu, turufu ya gongo haina mali. Akitangaza kuwa akipewa uongozi atahakikisha bangi inakuwa halali hapo atakuwa kalamba dume.

Sasa huoni atakuwa ameshusha soko letu la Sembe, vp wewe hujui sisi ndiyo wenye nchi na watoto wetu ndiyo wauza sembe. Chunga semi zako mjane
 
bato

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
3,528
2,000
Chama cha wauza unga ndo zao. Lazima uipigie debe hiyo kitu ya kuvuta,maana vijiwe vingi vya chama kijani ni vya kusukuma kete. Black widow tumekupata..
 
adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,572
2,000
Dr.W.Slaa, umenishangaza sana kutaka kuhalalisha gongo wakati madhara yake kiafya na kiuchumi ni makubwa sana.

Ningekuelewa na ningekupigia debe na kukuunga mkono ungetangaza kuwa ukichaguliwa utahalalisha bangi lakini gongo? ni no no no no, unaonekana ni kituko tu.

Kama tulivyoona juzi juzi Uruguay wamehalalisha bangi baada kulijadili sana hilo suala bungeni kwao.

Nakushauri usome kuhusu bangi na manufaa yake kiafya, kiuchumi, kijamii na uanze kampeni kwa kutuahidi kuwa tukikuchaguwa utahalalisha bangi. Pia, sio siri, Tanzania hii utawapata wengi sana wenye kukuunga mkono. Nna-uhakika Ben Saanane na Yericko Nyerere watakuwa mstari wa mbele kukuunga mkono kwenye hili.

Chadema na Slaa lifanyieni hili kazi, nna-uhakika hata Mwenyekiti Mbowe ataniunga mkono kwenye hili kwani naye ni mdau, pale Bilicanas bangi inauzwa nje-nje.

Gongo, mnhhh, pale uli-buugi man!

cc Josephine

Watanzania wanaojifaham huko Igunga Tabora. Angalia shazi Dr akipiga kazi, hana mzaha yeye ni kazi tu.

wewe piga preopaganda hapa halafu kesho lalamika kama mohamedi said kwamba serikali inawadhalilisha.

Unawapigia debe ccm wakiwachapa watu na kuwabaka huko Tanga mtwara na kwingineko unalalama ni ujinga.

adolay

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
11,572
2,000
Achana na CCM. Tunataka babu aingie na turufu ya bangi tumpe kura zetu, si kutujia na mambo ya gongo.

Unaleta za bangi, wewe ndiye unayempagia? kama bangi ni dili sawa peleka kwa kikwete wewe si unasifia kuwa huyo

ndiye aliyetukuka! FaizaFoxy na Dr W. P slaa wapi na wapi? FaizaFoxy na Chadema wapi na wapi wewe si ccm

Peleka mapendekezo yako huko ccm.

Dr anapiga kazi kama wanavyoonekana wenyeakili zao wanamsikiliza akimwaga sera.
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom