Dokezo kuhusu Dini ya Uislam

Kenge wewe unatafuta pa kutokea
Na ulivyopumbavu bado unaleta upupu uanokota mitandaoni
Ndio nyinyi mbululka na waporipori wa humu jf mnaokota kila kitu kwa kuwa kimeandikwa mitandoni mnaamini
Huko kuzunguka au kutozunguka sio lazima
Sasa wewe kichwa pumbu unatoa wapi stori za wakoreshi kama sio chatgpt au mitandaoni ya machoko wa kizayuni na kigalatia
 
Ninyi mnavyowashwa kuchambua dini zisizowahusu huwa mnachukuliaje ?
 
Hata mimi nimemsoma huyo jamaa ni mpumbavu..ametaka ushahidi nimempa ila ananitukana mimi.
Mbung'o wewe unajua maana ya ushahidi yaani hapa unathibitisha wewe ni mbulula sijui mnatokea mapori ya wapi mnavamia mitandaoni kwa vile mna simu janja basi tu mnakuja lopolopo
 
Huyo aliyesema uislam una wenyewe, alikosea. Mm nimejibu kile wewe ulichoandika maana ulitaka kuutenga uislam na uarabu, ndio maana nikakumbusha utautenga vipi uoslam n uarabu ikiwa waarabu ndio walioandika Quran
Elezea wewe Uislamu hatuwezi kuutenga na uarabu kwa maana bila uarabu hakuna Uislamu au ?

Kama bila waarabu hakuna Uislamu hii sio kweli sababu amekufa Mtume na Uislamu upo Bali wamekufa maswahaba na Uislamu upo, hata Wasaudia wote wakifa Uislamu utabaki, sababu Qur'an imehifadhiwa vifuani mwa watu miaka na mikaka, na waafrika wameusoma Uislamu na wanaendelea kuusoma na wanajua Kiarabu.
 
Mtume yuko hai Biblia haikuwepo, Sasa utuambie wewe Mtume alitoa wapi hivyo visa na Biblia ilikuwa haipo ?

Mtume alimuona mama Khadija akiwa na miaka 28, someni haya mambo myajue.

Lakini jalia ingekuwa kweli amemuoa na miaka 40 shida Iko wapi hapo ?

Nyinyi mngekuwa na akili si mngekua kina nani walio andika hizo Injili zenu ? Mngehoni kwanini hakuna msururu wa wapokezi wa habari zenu mpaka kufika kwa Yesu ? Halafu mnajidai mna akili ? Mnawajua watu wenye akili nyinyi ?
 
Jibu hoja acha kulalamika, malalamiko hayajawahi kuwa suluhu.
 

Umepanick brother.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ww haujui Uislam.
Hayo ni maarifa nakuambia ili ujue.
Kuwa Dini yako ni patatu papatu.
Imeokoteza mising ya dini nyingne.

Chukua na hii.
Kabla ya kushushiwa wahyi Mohamed akiwa na miaka 25 had 39.
Alikuwa anasali. Anafunga na anaenda kuzunguka Kaaba kama walivyokuwa wanafanya jamii yake ya kiarabu.(alikuwa mpagani)

Na mara tu alivyoshushiwa miaka 40 mtu wa kwanza kumwambia ni Bi khadija na wa pili ni Binamu yake .
Ambaye alikuwa mkristo anaitwa Waraqa Nawaf.

Tumlaumu Waraqa Nawaf maana ndio alimdanganya Mohamed na kumpa kichwa na kumwambia uliyekutana nae ni malaika yule aliyeongea na Musa.

Mohamed wenyewe alikiri na kusema nimekutana na majini pangoni. Nahisi kuchanganyikiwa.
 
Uislamu huujui, kwetu dini yetu imeeleza mavazi ya jinsia ya kike yako vipi na yanatakiwa yawe vipi, kadhalika sisi Wanaume tumeambiwa mavazi yetu yakoje, middle East wanavaa niqab ? Tangu lini ?

Kingine punguza matusi hubadilishi chochote.
 
Ulio amriwa na nani kama sio ushetani huo ? Kwenye ibada wewe una tofauti gani na kiongozi wako wakati nyote ni wahitajia ?
Mkuu huo utaratibu wameweka wenye hiyo Imani. Unataka namna ambayo Imani yako inaendesha ibada iwe sawa na Imani nyingine?

Mfano, wewe imani yako inaelekeza watu waswali uelekeo wa Makkah ilipo. Kwa Imani yako upoo sahihi kabisa, lakini hujui kuwa watu wa Imani nyingine huo wanaona ni ushetani?
Hapo ndio utaelewa kuwa ushetani ni dhana kulingana na vile mtu anavyoamini
 

Mtume yuko hai Biblia haikuwepo, Sasa utuambie wewe Mtume alitoa wapi hivyo visa na Biblia ilikuwa haipo ?
Mtume ni mjanja.

Anasema hakujua kusoma wala kuandika ili muamini hivyo.

Ila hiyo sio hoja.
Maana Unaweza usijue kusoma na kuandika lakin ukawa unasikia story za watu wa kitabu.
Na hao watu wa kitabu walikuwa karibu na mtume.

Kwanini alimfuata Waraqa Nawaf baada wahyi?.

Alaf Kabla ya wahyi. Mtume alikuwa anafunga na kusali.
Je kwa imani ipi? .

Visa pia vilikuwa vinasimuliwa kwa mdomo. Wale mitume watatu wa kiarabu walikuwepo kabla ya Yesu. Na watu walisimuliana na ndio maana Mohamed amewaandika kwenye Quran.
 
Uislamu hautegemei Saudia, sababu alikufa Mtume na maswahaba zake na Uislamu ukabaki mpaka leo.

Qur'an iliandikwa tangu Mtume yuko hai.
Uislamu kuendelea kuwepo hata baada ya mtume kufa hiyo sio hoja, maana hata Steve job alikufa miaka mingi lakini iPhone bado zinaendelea kuwepo hadi leo
 
Kuna waarabu na Kuna uarabu.

Kuelekea al-Kaaba ni maagizo Toka kwa Allah, na inaleta umoja na utiifu kwa Allah.

Allah pia ndio aliagiza mzunguke mara 7?.
Naomba aya.

NB: Kumbuka waarabu walikuwa wanazunguka kaaba kabla ya Uislam. Na kuabudu masanamu yao 360
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…