Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,340
- 11,085
Spana ya kwanza ni nyie makafiri kuikataa Biblia kua ni fake na bado mkiitumia hiyo hiyo fake kujenga hoja zenu za kwenye Quran mfano ni comment yako hapo juu umeqote injili ya Yohana 16:7 Yesu anasema ataondoka na kuacha msaidizi amabaye ni roho Mtakatifu na hapo lengo lako useme huyo msaidizi ni Muhammad Hahaha mnahangaika nyie!Spana gani mkuu lete mezani tuchambue tuache maneno
ukweli ni kwamba ile dini utamaduni na mila za waarabu, we mmatumbi uliaminishwa imani isiyo yako, huna asili na uislam ndio maana uliitwa kafiri kabla ya kusilimishwa, acha kutetea tamaduni za kigeni na miungu yake haikuhusuMzee kausome uislam vizuri kisha rudi hapa na kama una bisha lete aya zako namm nilete zangu tuone ukwel upo wap
😂😂Papa amesema Machoko kwa yesu watapata mabwana 72
Hawa Makafiri wamechanganyikiwa ujue kwanza wanasema injili ni fake bado wanaitumia hiyo hiyo kama ushahidi wa Quran hawa ni wendawazimu hawajui washike kipi waache kipi wapo confusedDah!
Kwahiyo Mohamed ndio hiyo Roho?.
Msaidizi atakayekuja Ni Roho mtakatifu yaani Roho wa Mungu,nguvu ya Mungu ndani ya waamini itakayowawezesha kufanya ishara,maajabu na miujiza na hilo likatimia siku ya Pentekoste na hapo ndipo wafuasi wa Kristo wakaanza kuitetemesha Dunia mpaka leo hii Dunia nzima ipo chini ya mfumo wetu ni baada ya Yule msaidizi kuja!We niambie huyo aliesemwa atakja ni nani
Kwanza kabisa, sisi waislam hatusemi Biblia yote ni fake kwa maana ya kila kitu ni uongo.Spana ya kwanza ni nyie makafiri kuikataa Biblia kua ni fake na bado mkiitumia hiyo hiyo fake kujenga hoja zenu za kwenye Quran mfano ni comment yako hapo juu umeqote injili ya Yohana 16:7 Yesu anasema ataondoka na kuacha msaidizi amabaye ni roho Mtakatifu na hapo lengo lako useme huyo msaidizi ni Muhammad Hahaha mnahangaika nyie!
😅😅
😀😀😀 na ukaamini ivo?Msaidizi atakayekuja Ni Roho mtakatifu yaani Roho wa Mungu,nguvu ya Mungu ndani ya waamini itakayowawezesha kufanya ishara,maajabu na miujiza na hilo likatimia siku ya Pentekoste na hapo ndipo wafuasi wa Kristo wakaanza kuitetemesha Dunia mpaka leo hii Dunia nzima ipo chini ya mfumo wetu ni baada ya Yule msaidizi kuja!
Elewa mada mjomba
Unavosema hakufua dafu mda haujafika mzee
Pia mimi nmekuja hapa kukutadharisheni kwakuw mnapinga ushahid wa maneno yote na yapo wazi kweny kitabu kitukufu (Quran) na bado mmeyapinga basi tulieni subirini hukumu ila sio kuleta mada za kijinga kuhusu uislam kwasbb hata mlete mada kias gan uislam ulikuja mpya na utaondoka ukiwa mpya na bado hata mjiteteee kivipi ukwel mnaujua ndani ya nafsi zenu kwaiyo kama unajua kabisa wewe umeshindwa kuamini uislam kaa tulia subiri hukum yako ila sio kuongeza chuki juu ya uislam kwani hutoongeza zaid bali utakuwa ni kama unautangaza zaidi
Hoja za kipumbavu walovamia Iraq, Syria Libya Lebanon na nchi nyingne ni kina nani?Kuna kitu kimoja tu cha muhimu ulichokiongea, nacho ni kuwaacha wanaoamini katika mafunfisho ya uislam waendelee na wanachokiamini bila ya kukejeliwa, kutukanwa au kudharauliwa. Na kwenye hili ungetumia muda wako mwingi kuwaonya waislam wenzako hasa wale mawakala wa shetani wenye misimamo mikali.
Kuna shida kubwa kwenye uislam na waislam, japo siyo wote. Jiulize kwenye mambo yafuatayo:
1. Hivi umewahi kusikia kuna wakristo wamewahi kuvamia msikiti na kuwaua waumini wa kiislam wakati wakiendesha ibada zao?
2. Na vipi hao waislam wa misimamo mikali huko Nigeria, DRC, n.k. wanaowavamia na kuwaua Wakristo wakati wanafanya ibada zao?
3. Je, umewahi kusikia kuna nchi yoyote Duniani, yenye waumini wengi wa Kikristo, ambayo waislam wanazuiwa kuabudu, kujenga misikiti au hata kubeba Quran?
4. Lakini nadhani unafahamu kuwa kwenye mataifa mengi ambayo waislam ni majority, hasa Mashariki ya kati, baadhi ya nchi haziruhusu wakristo kuendesha ibada kwa uhuru, hawaruhusiwi kuonekana wamebeba biblia, na nyingi zinazuia hata kujenga Kanisa.
5. Uliwahi kuwasikia wakristo wamemwua mtu aliyekuwa mkristo kwa sababu ameslimu? Lakini nina hakika umewahi kusikia mara nyingi, kuna nchi ambazo muislam akibatizwa na kuwa mkristo, anauawa.
Jiulize:
1. Dini zote zinaamini kuwa Mungu hashindwi chochote, kama ndivyo, kwa nini wewe ukamwue binadamu mwenzako kwa madai hajafuata maagizo ya Mungu wako? Ina maana huyu Mungu kama anataka mtu aliyefanya dhambi afe, anashindwa kumwua?
2. Kila dini, wakiamini kuwa wasiofuata dini yao, wanatakiwa kuuawa, kama yanavyofanya makundi ya kishetani ya waislam, unadhani Ulimwengu utakuwaje? Nasema ni makundi ya kishetani kwa sababu hata waislam wanasema kuwa Uislam ni dini ya haki, hayo haki ni ipi, kama unamwua mwanadamu mwenzako?
NB: Nakubaliana sana na Mahubiri ya Papa, wakati fulani akiwahubiria waumini wa Kanisa Katoliki kule Brazili, yeye alisema:
'Ni nani mimi hata nimhukumu mwanadamu mwenzangu? Kazi niliyopewa na Kristo ni kuwafundisha na kuwaelekeza wanadamu wenzangu wanatakiwa kufanya nini kadiri ya mpango na mapenzi ya Mungu. Kazi ya kuhukumu si ya yangu, bali ni ya Mungu mwenyewe". Mafundisho haya nayaona ni sahihi sana maana hata tukisoma kwenye Biblia, Yesu Kristo aliyepewa mamlaka yote, na ambaye hata waislam wanaamini atarudi kuutawala Ulimwengu, hakuna mahali alitoa amri au aliwahamadisha waliomwamini na kumfuata wawaue wale waliomkataa.
Falsafa kama hiyo inakosekana kwa baadhi ya makundi ya kiislam. Yaani uhubiri, ufundishe, umwachie yeye uliyemhubiria aamue. Maana wewe siyo wa kwanza wala siyo pekee uliyewahi kumhubiria, na kila aliyemhubiria amemwambia kuwa mahubiri na mafundindisho yake ndiyo sahihi. Kwa nini ulazimishe kuwa ya kwako ni lazima yafuatwe, na asipoguata umwue? Vitendo vya kikatili vya makundi kama hayo ya kiislam, ndivyo vinavyofanya uislam ubagazwe na kuonekana ni imani iliyopoyoka, maana inaxungumzia haki na amani, halafu watu wake wanaharibu haki na amani ya watu wengine.
NB: Ufahamu kuwa wewe unapoamini kuwa watu wasioufuata uislam wamepotea na watahukumiwa, ndivyo na wale wasioufuata uislam wanaamini kuwa wanaoufuata uislam wamepotea. Jambo jema ni kuhubiri na kufundisha imani yako, uhuru wa kuamua umwachie anayehubiriwa. Atakayehukumu ni Mungu mwenyewe. Dini zote zikizingatia hilo, Dunia itakuwa ni mahali pa amani.
Kwa sasa, dini zote Duniani, hakuna inayolazimisha watu, na kuwashambulia waumini wa imani nyingine, isipokuwa baadhi ya makundi ya kiislam. Leo kwa baadhi ya mataifa, makundi hayo ya kiislam yamekuwa laana kwa mataifa yao. Cha kushagazaha, makundi hayo yanapofanya mauaji kwa kutumia jina la uislam, husikii taasisi wala viongozi wa dini ya kiislam wakitoa kauli ya kukemea, kulaani au kujitenga nayo. Kukaa kimya, maovu yanapofanya kwa jina la imani yako, inatafsiriwa kuwa unakubaliana na uovu huo.
Waumini na viongozi wa dini ya Kiislam, wanapotaka wasibagazwe, nao wajue wana wajibu mkubwa wa kuhakikisha hawaharibu wala kutishia uhuru na haki ya watu wengine ya kuabudu na kufuata kile wanachokiamini kwa kadiri ya mafundisho ya imani zao.
Kuimba sio dah ama kwel ko ni kuimba yan hamna tukio jingine tofaut na kuimba na hamtakuwa mnakula wala kufany chcht ni kuimba tu na kusifu na mtakuw katka hali ya namna gani naomba unielezee bi dada namm nijue na ukitaka namm nitakuelezea tena kwa Ayah sa tuone ni wapi wameelezea kwa kina au wameweka tu ilimradiAkinamama : Sisi tutapewa nini kama wanaume watapewa mademu 72 ambao ni mabikora ili eaeasshighulikie?
Ustaazi; Na ninyi mtsbadilishwa kuwa hao mademu muendelee kushughulikiwa
Mademu; haiwezekani tumeteseka duniani na hiyo mitatimbo na peponi Tuendelee kuzagamuliwa tena? Kama hatupewi dushe na sisi tuwashughulikie hao 72 tunakwenda kwenye mbingu ya YEHOVA ambalo hakuna kuoa Wala kutolewa kazi ni kuimba na kumsifu Mungu tuu
Kabisa kaka ngoja tuachane nao ilimradi taarifa wameipataAchana nao hao,
Hawajui walitemdalo, wameshakuwa kondoo, chochote wanachoambiwa wanaambiwa.
Soon (in the next 20yrs) wataambiwa wawe mashoga na watakuwa. Kama yule Mwingine alivowaambia mwisho wa dunia umefika wachomwe Moto sasa ili wasiuone moto wa milele wanakubali, wakachomwa Moto kabisa zima
Au yule mwingine, aliyewaambia wakahubiri ulaya, wakaenda airport bila ticket, passport, au visa
Au yule mwingine wa Kenya aliyewazika waumini kwa maelfu.
Hao ni kondoo wwanachoambiwa wanafuata bila kupona kama ni cha Mungu au cha kiongozi wao. Soon wanageuzwa mashoga
Wakristo Wana chuki kubwa na uislam,,hata mada nyingi humu ni za kuuponda uislam,kero yao kubwa ni kwanini wanawake wa kiislam wanajiifadhi kimavazi, na kwanini waruhusiwe kuoa mke zaidi ya mmoja, wanatamani wanawake wa kiislam watembee uchi Hadi msikitini kama wafanyavyo wanawake wa kikristo kwenda uchi kwenye Ibada,
Na pia wanaume wa kiislam wawe na vimada kuliko kuwa na wake wa ndoa......hii dini ya mazuzu !unakuta jitu Lina elimu linatapeliwa na kina kuhani Musso,au na mwampesa
Mada zako hazina mshiko unaangalia penye makosa ila huangaliii faida ya jumla ivi nikuulize swali mkeo ametoka zake ndani kapiga kimini au suruali kasuka kajiremba na manukato ya kutosha akaenda uko akatongozwa wakamzini utamlaum nani na si kwamba naongea hayatokei ni mengi tuuu ila nikuulz kati ya hao wanawak yan alievaa kimini na alievaa ninja au baibui ni nani atakuwa na mvuto zaidi na atatongozwa zaid kwa watu bila shaka jibu unalo ivoivo ndo maana dini ya uislam ikakataza mwanamke kwenda uchi kwasbb ya madhara kama hyo na mengine meengi sasa basi si tu katik mavazi kila kitu dini ya uislam imefundisha sasa niambie huo ukrist umefundisha kila kitu? ,et unaenda kumuomba mungu umemvalia uchi Kwani Mungu ana shida na uchi wako kwamb ukimvalia ivo ndo atakujibia maomb yako haraka?? Kwanza hiyo biblie yenyew imesema mwanamke afunike kichwa chake sjui kama unaijua!!!!Usitoe mchango kwenye mada, unaokufanya udharaulike.
Ni dini gani inayoruhusu watu kutemvea uchi? Hivi hujui kuwa hata sheria za nchi zinazuia mtu kutembea uchi?
Japo, haitokei hapa Tanzania, fikiria huko kwenye nchi kama Iran, mwanamke anauawa kwa sababu hakuvaa ninja, na wewe unasema kuwa uislam unazuia mwanamke kutemvea uchi, ina maana wanawake wa kiislam uchi wao upo kichwani? Yaani ufirauni na tamaa za ngono za wanaume wa kiislam, ndiyo ziwaletee mateso wanawake kiasi cha kulazimishwa kugunika vichwa vyao ili wale wanaume waroho wasiwatamani? Kwa nini hao wanaume mafirauni na wenye tamaa ya zinaa, wasioweza kuhimili tamaa zao za miili msingewaziba macho ili wasiwaone wanawake walio warembo? Angalia leo hii hizo ninja zinavyotumika: kuna baadhi ya wanawake wa kiislam malaya, wanavaa baibuin na ninja, anatoka nyumbani kwake, anaenda kufanya uzinzi, akiwa na uhakika kuwa kila atakayemwona hatamtambua.
Nenda oale Zanzibar, pia kwenye maduka, baadhi ya wenye maduka wameweka mabango, "marufuku kuvaa ninja", nilishangaa, nikaukiza ni kwa nini? Mwenye dua akasema kuwa ni wevi, hata wakiweka kamera, ukija kuchunguza baadaye, mtu utamwona lakini hutajua ni nani!!