Doha: Rais Samia azungumza na Sheikha Moza

Doha: Rais Samia azungumza na Sheikha Moza

#PICHA Rais @samia_suluhu_hassan akizungumza na mke wa aliyekuwa Mfalme wa Qatar Sheikh Hamad Bin Khalifa Al- Thani, Sheikha Moza Bint Nasser Al-Missned wakati alipomtembelea Jijini Doha nchini Qatar tarehe 03 Oktoba, 2023.

#EastAfricaTVView attachment 2770508
Huko napo anasign MOU za kutuuza kama alivyoganya na UAE,hawa wenye pua refu hawanaga lolote zaidi ya kutuletea tende na majambia
 
Kwahiyo muuzwe tuuuuu msiishe?

Hii mentality mbaya sana
Magufuli alisema tanzania ni li Nchi likubwa sana lakini haliishi,maana kama kuuzwa mi nakumbuka tuliaanza kuuzwa toka enzi ya Rais Mwinyi na hadi leo bado tunauzwa,na atakae kuja nae atauza!!
 
Siku tukimpata raisi anatokea kigoma mwenye asili ya kongo.tutaipendelea sana Kongo.
Na mkumbuka mabutu seseko zingidaba.
Hii tabia ya Kila raisi kutafuta asili yake au eneo lake ilianza kwa magufuli ya ccm
 
Matapeli yanayofaidika na bandari yana kiwewe bado dawa inachemka chunguni.
Ngoja dawa iwaingie sawasawa.
Utajua machungu ya hiyo bandari ukiwa unaleta mzigo hapo.

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli alisema tanzania ni li Nchi likubwa sana lakini haliishi,maana kama kuuzwa mi nakumbuka tuliaanza kuuzwa toka enzi ya Rais Mwinyi na hadi leo bado tunauzwa,na atakae kuja nae atauza!!
Mwadui iliuzwa na Mwinyi?
 
Hivi kunatofauti gani Kahawa wanayokunywa hao Waarabu na hii ya huku kwetu Uswahilini?

Mbona wenzetu wamechangamka sana sisi tumekalia kubishana Yanga na Simba kuanzia asubuhi mpaka tunapoenda kujifucha kwenye vibanda vyetu.
 
Back
Top Bottom