Halafu wajinga wanashadadia kuwa mama anaupiga mwingi maana anafungua nchi pumbavu zaoAkirudi atakuja na mkataba mwingine,sikuhizi nikiona sa100 yuko uarabuni naona kaenda kudalalaia raslmali za tanganyika.
Halafu wajinga wanashadadia kuwa mama anaupiga mwingi maana anafungua nchi pumbavu zaoAkirudi atakuja na mkataba mwingine,sikuhizi nikiona sa100 yuko uarabuni naona kaenda kudalalaia raslmali za tanganyika.
Michoro mingine ni ya kifrauni ndo anayetaka tumwite mama anapiga nayo pichaSi tumekubaliana kwenye uislam michoro ni haramu sasa imekuwaje tena hii michoro tata?
Ina maana ganiWacheni maneno maneno... kuna uchaguzi 2025, mkamchague mnayemtaka kama huyo mnahisi hawafai. Na hiyo picha huenda haina maana ya hayo mnayoyadhania na kuyafikiri. Hebu wacheni fikra chafu!
Watu wazima nyie
Nakubaliana na wewe na mafuta TZ yameshuka Bei na yataendelea kushuka...Samia hawezi kwenda Vatican hakuna Hela kule,Kuna misalaba tuh,Sasa misalaba ya kazi Gani?Bora aende uarabuni kwenye mafuta
Mwambie huyu.middle east sasa ndio kuna pesa.kila mtu kageukia middle east siasa za geopolitical zinataka uwe vizur na middle east huoni brics wanavokuja. Huyo sheikha moza peke yake ana utajir wa dola bil 15 zankwake mwenyewe.Aende wapi Sasa Vatican??
Nani kakuambia Italy Kuna Hela,kule njaa Sasa aende akafanye nini,Zaid Zaid ataambulia kupewa misalaba tuh,Sasa ya kazi Gani?
Ila walikua na natural resourcesWakati tunachukua Uhuru hivi vi nchi vilikuwa ni masikini wa kutupwa.
Gesi hata sisi si tunayo.Ila walikua na natural resources
Ujinga tu hakuna Rais hapo jipu tu.#PICHA Rais @samia_suluhu_hassan akizungumza na mke wa aliyekuwa Mfalme wa Qatar Sheikh Hamad Bin Khalifa Al- Thani, Sheikha Moza Bint Nasser Al-Missned wakati alipomtembelea Jijini Doha nchini Qatar tarehe 03 Oktoba, 2023.
#EastAfricaTVView attachment 2770508
Yuko over influenced na uarabu asije kutuuza kwa nchi nyingine ya kiarabu tena. Ndio maana akiwa na hawa watu bila mtanganyika kuwepo tunaogopa.#PICHA Rais @samia_suluhu_hassan akizungumza na mke wa aliyekuwa Mfalme wa Qatar Sheikh Hamad Bin Khalifa Al- Thani, Sheikha Moza Bint Nasser Al-Missned wakati alipomtembelea Jijini Doha nchini Qatar tarehe 03 Oktoba, 2023.
#EastAfricaTVView attachment 2770508
Sijui we ni ke au me, hata hivyo ushauri tu usipende sana kutamani pesa ya mwarabu, itakutokea puaniMwambie huyu.middle east sasa ndio kuna pesa.kila mtu kageukia middle east siasa za geopolitical zinataka uwe vizur na middle east huoni brics wanavokuja. Huyo sheikha moza peke yake ana utajir wa dola bil 15 zankwake mwenyewe.
Wewe unajiona ni sehemu ya wazungu....Wanajiona na wao ni sehemu ya waarabu.
Utumwa wa kifikra
Lini tuliitamani pesa ya mwafrika na haikutokea puani?!!!Sijui we ni ke au me, hata hivyo ushauri tu usipende sana kutamani pesa ya mwarabu, itakutokea puani
Yaani dola apewe mzanzibari halafu uone walikosea?!!!Yuko over influenced na uarabu asije kutuuza kwa nchi nyingine ya kiarabu tena. Ndio maana akiwa na hawa watu bila mtanganyika kuwepo tunaogopa.

Ila mzungu inafaa si ndio na haitokei puani. Shida inajulikana sana ni udini tu hakuna kingineSijui we ni ke au me, hata hivyo ushauri tu usipende sana kutamani pesa ya mwarabu, itakutokea puani
Ndiyo tatizo udini. Tunaona wenzetu dini mnaiweka mbele sana. Tuliyoyashuhudia UDOM hatutaji yajirudie kwenye bandari zetu. Maliasili za umma zibaki kwenye mikono ya umma.Ila mzungu inafaa si ndio na haitokei puani. Shida inajulikana sana ni udini tu hakuna kingine
Shida inaanzia hapo