Achaa Mama ajaribu upande mwingine wa Wawekezaji, Vatican wametupiga sana!!Wazanzibari na waraabu!, ni kama nzi kwa kidonda....kweli Tanganyika ya Nyerere imepatikana
Mama anataka Wawekezaji wenye hofu ya Mungu!!Hivi mama yetu hana sehemu nyingine ya mipango yake hadi iwe Falme za kiarabu ?
Hivi mama yetu hana sehemu nyingine ya mipango yake hadi iwe Falme za kiarabu ?
Alafu akisha pewa misalaba,wao wanachukua Gas! Vatican wajanja sana!!Aende wapi Sasa Vatican??
Nani kakuambia Italy Kuna Hela,kule njaa Sasa aende akafanye nini,Zaid Zaid ataambulia kupewa misalaba tuh,Sasa ya kazi Gani?
Alafu akisha pewa misalaba,wao wanachukua Gas! Vatican wajanja sana!!
Magufuli alilalamikiwa kwa kwenda chato mara kwa mara.
Sasa tumehamia kwa wajomba.
Uislam kama ulivyo ukristo ni dini takatifu....Si tumekubaliana kwenye uislam michoro ni haramu sasa imekuwaje tena hii michoro tata?


...kwa sababu wewe ni mjingeeer...Akirudi atakuja na mkataba mwingine,sikuhizi nikiona sa100 yuko uarabuni naona kaenda kudalalaia raslmali za tanganyika.
Walio wengi ndiko iliko asili yao, na wala hawajakubali kuwa wao ni Waafrika. Wanajua kuwa wanaishi Afrika lakini kwao ni Uarabuni.Wazanzibari na waraabu!, ni kama nzi kwa kidonda....kweli Tanganyika ya Nyerere imepatikana
Baadae tutaanza kumuona mazeli naye ameiga mtindo wa kufunua nywele kama alivyofanya Sheikha Moza#PICHA Rais @samia_suluhu_hassan akizungumza na mke wa aliyekuwa Mfalme wa Qatar Sheikh Hamad Bin Khalifa Al- Thani, Sheikha Moza Bint Nasser Al-Missned wakati alipomtembelea Jijini Doha nchini Qatar tarehe 03 Oktoba, 2023.
#EastAfricaTVView attachment 2770508
Hilo ndo tatizo la mazeli kuzurula kwenye sebule za watu, ona sasa hadi anakalishwa kwenye bango la kuliwa tunda kimasiharaWaarabu hapa Tanzania ni kwao pia. Walifika mwambao huu kabla hata wabantu hajaondoka huko Cameroon.
Mama piga kazi tu achana na watu wanaongalia picha na akili zao zinaenda kwenye ngono. Hawana ustaarabu na staha za kujadili vitu muhimu.
Huyo mwenyeji anaendesha taasisi muhimu sana ya elimu kwa watoto na Tanzania ina nafasi ya kufaidika.