mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 22,312
- 55,970
Jamaa yuko sahii lunya??yuko wapi bonge la nyau,jinaacha kukariri...tayari jina lake limeshapenya katika showbiz regardless of how weird it sounds.
Jamaa yuko sahii lunya??yuko wapi bonge la nyau,jinaacha kukariri...tayari jina lake limeshapenya katika showbiz regardless of how weird it sounds.
😂😂😂🙌🙌🙌🙌 kwanini mkuu...?Hamna rapper hapa..
Msanga BembezaMsanga ipi? Sokoni au Zalala?
Alifanyiwa nini mkuu?😀Alicho fanyiwa na young killer, hatokuja kusahau😄😂
*****😂😂Mdogo wake Lunyamila
LoonyerHili jina liwe la kibiashara ajiitaje?
Ila kwao kumechokaKwao ni kiwalani