Dogo ni mvurugaji kwelikweli!

Dogo ni mvurugaji kwelikweli!

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,197
Reaction score
14,890
Huyu dogo amekuja mapema hii syo generation yake hii ilikuwa generation ya akina mbappe yeye amekuja kuvuruga tu mpangilio.

20250501_161843.jpg
 
ana fanya kwa nafasi yake, ila sio world player Kama mnavyo aminishana.

Una mkumbuka ansu fati?, si mpaka barca wali mwekea release clause ya 1b ikawaje?
Sasa ansufati ndo umfananieshe na Yamal!

Ansu alikuwa mzuri kwenye kufunga tu ila kuna vitu vingi kaachwa mbali na Yamal.

Yamal ni pure talent.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom