bulajunior
JF-Expert Member
- Oct 14, 2024
- 624
- 895
Dimarco alitumwa kumkaba yamal kilichomkuta hakuamini babu yule
PumbaLamine Yamal ni Ansu Fati aliyechangamka, muda utaamua
Tyr sunset msimdanganye dunia imehamia yamal hamna mtu anawaza uwepo wa Mbappe tenaMbappe kashaprove ubora kwenye michezo mikubwa mingi sana. Ajitahidi kumaintain ubora.
Na hiki ni kipaji kingine cha Mtanzania, uwezo wa kuona kinachoendelea ndani ya kichwa cha mtu.Tyr sunset msimdanganye dunia imehamia yamal hamna mtu anawaza uwepo wa Mbappe tena
Hayo ni mawazo Yako binafsiLakini Yamal anacheza kipindi ambacho wachezaji wengi sio bora kibinafsi...Yamal kapata opportunity mapema kutokana na makuzi yake la Masia...Gaucho hakupata tu bahati ya kuonwa mapema..ila Gaucho alikua shida
Kumbe wewe Nyambulet unafuatilia mpaka na mipra ?ana fanya kwa nafasi yake, ila sio world player Kama mnavyo aminishana.
Una mkumbuka ansu fati?, si mpaka barca wali mwekea release clause ya 1b ikawaje?
Mbali ni machachari, speed na fiziki yake ipo juuDogo anajua lakini mbape alikua bora zaidi yake at the age 17
Gaucho ni zaidi ya SHIDALakini Yamal anacheza kipindi ambacho wachezaji wengi sio bora kibinafsi...Yamal kapata opportunity mapema kutokana na makuzi yake la Masia...Gaucho hakupata tu bahati ya kuonwa mapema..ila Gaucho alikua shida