bulajunior
JF-Expert Member
- Oct 14, 2024
- 624
- 895
Babu Dimarco hataki kabisa kukisikia hiki kitoto kimemulaza chini na msuli wake kidogo amwage radhi😀😀😀Miaka 17 ila anawatesa baba zake uwanjani. Huyu dogo ni balaa.
Babu Dimarco hataki kabisa kukisikia hiki kitoto kimemulaza chini na msuli wake kidogo amwage radhi😀😀😀Miaka 17 ila anawatesa baba zake uwanjani. Huyu dogo ni balaa.
Linapokuja suala la yamal hutaki kutuma mtoto dukani kaka😀😀😀Sasa ansufati ndo umfananieshe na Yamal!
Ansu alikuwa mzuri kwenye kufunga tu ila kuna vitu vingi kaachwa mbali na Yamal.
Yamal ni pure talent.
Kaka huyo mtoto ana balaa zito.Linapokuja suala la yamal hutaki kutuma mtoto dukani kaka😀😀😀
Hahahaha huyo babu hataki hata kumsikiaKaka huyo mtoto ana balaa zito.
Alichomfanyia jana Di marco sidhani kama atamsahau Yamal kwenye maisha yake.
Dogo anaubonda mwingi sana.Hahahaha huyo baby hataki hata kumsikia
Kama unachosema ni kweli basi dunia imeishiwa wachezaji na vipaji.Kwa sasa Yamal ndo best player worldwide, Mbappe Vinicius jr, Rodrigo, Raphinha, salah,Saka,Jamal musiala, Nicolas wiliam wakae pembeni kwanza
sija mlinganisha, nime compare attention aliyo kuwa ana pewaSasa ansufati ndo umfananieshe na Yamal!
Ansu alikuwa mzuri kwenye kufunga tu ila kuna vitu vingi kaachwa mbali na Yamal.
Yamal ni pure talent.
Gaucho akiwa na miaka 17 alifanya nini dunia ikamtambua?Kama unachosema ni kweli basi dunia imeishiwa wachezaji na vipaji.
Ameshafikia hata robo ya ubora wa Gaucho hapo Barca?
Subiri uletewe porojoGaucho akiwa na miaka 17 alifanya nini dunia ikamtambua?
Ndio nasubiri hapo nione Ronaldinho akiwa na miaka 17 alifanya nini akatambulika na duniaSubiri uletewe porojo
Bado sijaona maajabu kutoka kwake, anafanya vitu ambavyo wengine wanafanya, labda kwavile namlinganisha na wakina Messi ndiomaana namuona wakawaida tu.Ni nini cha kipekee kuhusu huyu dogo,?? nimeanza kumsikia hivi karibuni
Sifuatilii mpira sana ila naungana na wewe, baada ya misimu mitatu tukiendelea kusikia kelele hizi hizi basi atakuwa bora.Mm km middle nampa misimu mitatu ndio nitasema kitu
Mpira uwanjani sio mdomoni we unauchezea mdomoni dogo anauchezea uwanjaniSifuatilii mpira sana ila naungana na wewe, baada ya misimu mitatu tukiendelea kusikia kelele hizi hizi basi atakuwa bora.
Ila pia tukumbuke majeraha yalimsababishia kutoka mchezoni mapema na mpaka sasa bado yanamuandama kila mara, anacheza kidogo anajiuguza kwa sanaana fanya kwa nafasi yake, ila sio world player Kama mnavyo aminishana.
Una mkumbuka ansu fati?, si mpaka barca wali mwekea release clause ya 1b ikawaje?
Wap nimesema ni maoni ya woteNi maoni yako sio ya wote