sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,735
- 11,128
- Thread starter
- #21
Huenda akawa zaidi ya wote haioUsimsifie msikitikie watu wa hivyi huwa hawawi na mwisho mzuri unless ashtuke haraka aache
Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu.
Mwaka 1972 Arusha kuna jambazi alikuwa anaitwa Mnyori alisumbua sana Arusha
Hata polisi walikuwa wanamuogopa sana.
Aliyekuja kummaliza na kumhamisha duniani na kumpekeka kwa Mungu ni mama mmoja wa kimasai muuza gongo.
Unakumbuka kale kafala kaliitwa Dangote ka Arusha kalikufaje? juzi juzi tu hapa hata miaka miwili bado kupita