Dogo anafurahia msosi!

Dogo anafurahia msosi!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
581502_4752361885885_1687306390_n.jpg
 
watoto wa siku hizi bwana.
miaka hiyo kina zomba hapo wanatoa makamasi tu.
 
Dogo anasubiri pilipili na maji ya kunawa kabla ya kusambaratisha hiyo "kitonga" faster
 
Mbona kama kafumba macho...itakuwa anaombea chakula huyo anaonekana mjanja xana
 
kweli mwili haujengwi kwa matofali!!dogo anaboresha afya!
 
Back
Top Bottom