Does Your Spouse Know Your Total Salary Package!

Does Your Spouse Know Your Total Salary Package!

i really can't believe this amu watu washavuta mazima?watu wabaaaaaya!
kumbe kuchelewa kulala kuna raha yake!
ha ha ha
tatizo lako kila siku unanikuta nimeshaweka yale mambo yetu.
Huyu ndo amu mzima
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha
tatizo lako kila siku unanikuta nimeshaweka yale mambo yetu.
Huyu ndo amu mzima

tena mida ka hii ndo ungekuwa umekula ng'ada za kutosha,unabembea tu!
ka stock imekata onana na masadali,bado hatujalala
 
Last edited by a moderator:
tena mida ka hii ndo ungekuwa umekula ng'ada za kutosha,unabembea tu!
ka stock imekata onana na masadali,bado hatujalala

yaani hapa nina arosto vibaya sana natetemekaje!!! Siwezi kulala aiseee naenda pale mapambano sinza siwezi kukosa mda huu...
Sasa wewe mbona huchangii mada????
 
Mie hata nyumbani mshahara haufiki zaidi ya kuniona nimechangamka tu anajua leo ninazo,zote najenga heshima bar
 
To me, money is nothing.
kwa nini umfiche mkeo/mumeo kipato chako?
Siku ukifa unakufa na 'siri' yako?
 
Nisipojua kipato chako kama mke wangu...tutawezaje kuwa na plans endelevu?
Plan endelevu ni za mwanamme, mke ni msaidizi akiweza. Mimi mambo 50/50 siyawezi wala siyataki.................lol
 
Money stunna,

Mkuu the answer to your question lies on kind of marriage the two have been involved to.

Say if it ndiyo zile za mikataba, believe me that doesnt matter!But if it is really Christian marriage there is no problem in disclosing about it, actually there's a problem when not disclosing!

Why not disclosing to your partner? Say what worse could happen if she/he knows?...and on other hand, do you really expect your partner will look you the same way he/she did before finding out?

May be because we belong together in the same field, that's why yeye anajua.But kumbuka mambo kama ya malimbikizo, mafao etc matters sana esp. if he/she wont know for family welfare.

There's alot that could happen when your spouse doesnt know/when you hide about your salary,allowances..why marrying him/her if yet you can keep secret from each other?!something must be wrong with the 'foundation' of your marriage.

naunga mkono
 
Ooh mimi ndiyo nina bahati mbaya kabisa!!mi wa kwangu ndiye anayepanga nilipwe ngapi! Mbaya zaidi huwa mara nyingi nakuwa mbali na ofisi hivyo husaini na kuzichukua pia,tukikutana nyumbani nakuta keshazipangia tayari,napata kinachobaki.
 
Plan endelevu ni za mwanamme, mke ni msaidizi akiweza. Mimi mambo 50/50 siyawezi wala siyataki.................lol

Si lazima iwe 50/50 maana vipato sio mara zote hulingana...umenena vyema uliposema mke ni msaidizi, kwa mantiki hiyo hata pale mume anapopungukiwa yapasa mke aongeze kama uwezo unaruhusu.
 
Si lazima iwe 50/50 maana vipato sio mara zote hulingana...umenena vyema uliposema mke ni msaidizi, kwa mantiki hiyo hata pale mume anapopungukiwa yapasa mke aongeze kama uwezo unaruhusu.

Kama ipo...usipange budget yako kutegemea big chunk kutoka kwa mamaa...kwanza wanatoka retirement mapema, ndio ninaposema mwanaume abebe mzigo mkubwa hahaha
 
Kama ipo...usipange budget yako kutegemea big chunk kutoka kwa mamaa...kwanza wanatoka retirement mapema, ndio ninaposema mwanaume abebe mzigo mkubwa hahaha

kwa hiyo ni hapa ambapo wadada/akinamama uwa wanakubali jukumu la bajeti ya familia ni la mwanaume tu, hapo wenyewe waruhusiw kuchangia kdg au wasichangie kabsa....yaani ni hapa mambo sijui ya mkutano wa Beijing 'KWISHNEH'!!! ha ha haa
 
Mi wangu anajuwa kila kitu, mpaka overtime... Sina sababu ya kumficha.
 
Binafsi huwa namficha wife kiwango cha pesa ninachopata na kikubwa ni kulinda privacy maana naona kama kuanika kila kitu kuna ninyima uhuru kama mwanaume...........
 
Fungu la kuhonga haliko auditable eeh?
Binafsi huwa namficha wife kiwango cha pesa ninachopata na kikubwa ni kulinda privacy maana naona kama kuanika kila kitu kuna ninyima uhuru kama mwanaume...........
 
si lazima iwe 50/50 maana vipato sio mara zote hulingana...umenena vyema uliposema mke ni msaidizi, kwa mantiki hiyo hata pale mume anapopungukiwa yapasa mke aongeze kama uwezo unaruhusu.

wanawake ni wagumu kutoa pesa zao,mkipanda bus ata nauli utalipa mwanaume
 
Aise Money stunna ni ngumu sana suala la mshahara kwa wenza. Huwa naona no bora liwe na uhuru kwa kila mmoja kuamua kusema au la!! Ila ninajua wanaume wengi wanapenda kufahamu mishahara ya wake zao!! Ila ya kwao!! Hapa ni pagumu sana. Cha msingi huwa naona ni vema kukubaliana maendeleo na ninani afanye nini na mchango ni kwa vipi. Dah hata wife awe na hela lakini nisikia kuwa obliged kuwa ni mimi kama kichwa cha nyumba natakiwa kuweka mambo sawa yale makubwa na yeye anachangia!! Na mshahara wake but huwa nampa hela pia!! Ndivyo imekuwa na hapo nakuambia matatizo madogomadogo kwa mke hutayasikia. Mpe jambo siku moja moja mafuta ya gari, hela ya shopping ya kitu anakitaka, etc. Ukutaka ku win maelewano kwa mke, just do little extras!! You will enjoy wonders!![/QUOTE]

Hii nakuunga mkono 100%!!! Kuna kasumba ya muda katika jadi ya BABA KUWA PROVIDER WA UCHUMI NA USALAMA WA FAMILIA. Hata hawa DIGITAL wives, wakipata hii extra care ya MME....appreciation is granted......

Grease muhimu katika chombo chochote chenye mzunguko uletao msuguano; NDOA INA MIZUNGUKO NA MISUGUANO MINGI KULIKO AXLE YA DALADALA .......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom