Does Magufuli care?

GreenCity

Huko Mbeya vijijini kashinda nani?

Na kwanini wanaohusika hawafanyi mikutano huko!
 
Songambele

Kama hajali,sasa hizi kelele mnampigia za nini?

Apigiwi kelele watu wanaweka records sawa! ndio maana hakuna aliyemwandikia barua yanasemwa humu kwa wana nzengo ili nyie watu wake mkamwambie mbeleni asije rusha ngumi na kuumiza watu wasio na hatia.
 
Ifikie kipindi Upinzani mkomae na ajenda zenu wenyewe badala ya kurukiarukia za wengine ili tu msikike.


Najua Upinzani uko desperate to get any public limelight,wako tayari kusikika hata kwa kumsema Rais,ila anajali.
Ukijua uwepo wa vyama vya upinzani na kazi zake,na zilizofanywa na kuonekana toka vianzishwe huwezi kuja na kauli kama hizi, kama wewe huzioni ni wewe na hili sio tatizo lako tu unaejiita pastor no ni la mashekh,maaskofu,wachungaji wainjilisti nk MMEJAA UNAFIKI TU,MAHALI PA KUSEMA SIO MNASEMA NDIO NA SEHEMU YA NDIO MNASEMA SIO kisa kuiogopa serikali isije ikawafuatilia na kufunga makanisa yenu mkakosa sadaka na mafungu ya kuni,subirini siku inakuja mtatakiwa kujibu HUU UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA MLIVITOA WAPI.
 
You are not a Tanzanian. If by chance you are then there is something seriously wrong with your brain
 
Magu he doesn't care about nothing.


Swissme
 
kama anadhani ya Lissu yatasahaulika anajidanganya ni mpaka atakapofungwa ndipo tutanyamaza
 
Tetty huu uandishi wenu uwa unanikera sana.

Mnaandika kilawalawama na kwa kususasusa kama watoto.

Grow up.

Pole sana,huwa napenda kuuweka uandishi wangu kwenye lugha ya kwangu na sijalalamika nimeuweka ukweli niuonao mimi.Pole sana.

Watanzania bila kujali ITIKADI zetu tunatakiwa tujitathmini kama tunalitendea HAKI TAIFA letu.

Kubwa kuliko yote TANZANIA ni yetu sote hata mgeni akija akipendezewa bado anahaki ya kuishi ilimradi afuate sheria na taratibu zetu.

Pili tukubali kwamba bila UPENDO wa sisi wenyewe kwa wenyewe watawala watatumaliza.Tusijetukajiona ukiwa upande huu ni first class na ukiwa upande huu hufai,moja kubwa Tanzania yetu sote hakuna mwenye haki na Tanzania.

Tanzania si ya CCM wala Magufuli,Tanzania ni ya watanzania ataondoka itabaki.

HAKI,UMOJA na UHURU ndivyo tunavyovihitaji kwa sasa.Bila HAKI na UMOJA AMANI na MAENDELELO tutayasikia UCHINA.

Hakuna mgeni anayekuja hapa kwa nia ya kuliendeleza Taifa letu,waot wapo kwa ajili ya kula.

Mtawala anayjitahidi kutugawa tunatakiwa tumuogope kama UKOMA,hatufai.
 
Unaupatia upinzania kidole kati. Ana ghadhabu na upinzani, na bahati mbaya watanzania hatujui aliichukulia wapi, au ni wapi upinzania ulimkwaza kiasi hicho.
 
Haya!

Em sema, magufuli anajenga kwa kutoipa kipaumbele na kuivunja katiba? "

Je magufuli anajenga nchi kwa double standard za vyeti feki na uchapakazi kwa Bashite, YES! But vyeti feki na uchapakazi kwa wafanyakazi wa kawaida BIG NO?

Je Magufuli anajenga nchi kwa kujenga Airport Chato?

Je magufuli anajenga nchi kwa kujihidhinishia kodi zetu mwenyewe na kwenda kununua bambodier q400 mwenyewe bila bunge?

Magufuli anajenga nchi kwa kutoa ahadi za uongo kwa wananchi wake?

Magufuli anajenga nchi kwa kutokemea wateule wake kuwanyima wananchi uhuru wao kama kusali na kutoa maoni kuhusu Lissu?

Yaani unadhani labda kipindi hiki cha magufuli ataleta mambo yapi mapya ktk elimu na kuifanya iwe bora na kutofautiana na ya zamani?

Yaani mkuu mimi naona bora ukae kimya na ccm yako maana mwenyekiti wenu anaivuruga hii nchi
 
niah

Wakosoe ili wasipayuke.

Wakosne kama Mbowe,ambaye alishalipigia kelele swala la Wizara moja kuna na madini na nishati sehemu moja.

Inshu ya CC wa Bunge kikatiba haina shida,labda kisheria

sasa badala ya wabunge kuaandaa hoja binafsi ya kubadili ibara 87 ya katiba kifungu cha sheria na 15 ya Buoge,wanakuja humu kulialia ili kupata publicity.

Kwani kati ya Katiba na sheria ipi iko juu ya mwenzake?

Aya ameapishwa,ushasikia tena kelele za akina Zitto?

Hizo ndizo miye naziita unnecesary and uncalled for jabberings.
 
Ni moja ya jukum la wapinzani. Japo wapinzani wetu wapo weak sana, chama tawala saivi kinaishi kwa nguvu ya vyombo vya dola tuu.
Mkuu,nadhani ulitaka kusema chama tawala kiko weak sana na kinaishi kwa kuvu za dola,watawala nchi hii hawataki kusikia kusanyiko lolote la wapinzani liwe la nje au mkutano wa ndani demokrasia imerudi nyuma miaka 25,unajiuliza nini hofu ya watawala??HAWAJIAMINI.??
 
Adili

Magufuli ana madhaifu yake tena mengi tu.

Hivyo ni haki kukosolewa.

Ila kuna wakati Upinzani wanapayuka payuka kuhusu vitu obvious na visivyo na impact yoyote.
 
Ileje

Kuna kukosoa na kupayuka.

Elewa hilo.
Vyote ni sawa tu! Kwa sasa haiwezekani kabisa chama cha upinzani kupata wanachama wapya katika maeneo ambao hakina uawakilishia wa diwani au mbunge! Wanachama wapya hupatikana kwa kufanya mikutano ya hadharaambayo imepigwa marufuku! Lakini yeye mwenyewe anazunguka nchi nzima akipokea wanachama wapya!!

Ajenda na sera za chama cha siasa hufafanuliwa katika mikutano ya hadhara, vipeperushi na matangazo ya redio na TV ni ziada!!
 
Adili

Magufuli ana madhaifu yake tena mengi tu.

Hivyo ni haki kukosolewa.

Ila kuna wakati Upinzani wanapayuka payuka kuhusu vitu obvious na visivyo na impact yoyote.
Tumieni nguvu ya hoja. Wapo waTanzania wenye uwezo wa kupambanua (na wanazidi kuongezeka) kati ya mchele na pumba. Kuukandamiza upinzani ni dalili ya kutojiamini au kama ilivyosikika ni dalili za udikiteta.
 

Nashindwa kukujibu sababu sisikilizi bunge maana hatulioni, lakini ninachokisoma ni kwamba kila wabunge wa upinzani wakijaribu kutoa hoja zinazimwa. Kumbu kumbu zipo bungeni kuna siku tutaziona au wajukuu zetu. Ukweli mwingine unaona kila mbunge wa upinzani anayeongea, anashitakiwa kwa kusema uongo wakati hawamuombi vielelezo vyote au sauti kusikia wapi maneno fulani yalisemwa na nani na wapi. Well wengine tumefika mahala tunasema bora liende ila nawaonewa wajukuu zetu maana watoto wameshaathrika tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…