Does Age Really Matter??

Does Age Really Matter??

Darling.....Wanikatisha tamaa Mama KUBWA inamaana we Dig Dig hunifai kumbe bore mi nirudi kwa Big tu.... Nimuombe yaishe nirudi kwake

PJ.... muulize GY kuhusu MAGAZIJUTO au BODMAS atakueleza vizuri jinsi ya kukalkuleti hiyo mambo....
he jamaaan mweeeeeeeeeee!!!!!!
mi stak yan speeeeeeeend km nini eti WANA CONFLICT BTN THEMSELVEssssss haaaaaaaaaaaa

biggggggggggggggggggggggggg mamaaaaaaaaaaaaaaaaa karud..dig dig chaliiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!1
poleeeeeeeee
 
age matters alot,but only if there is true love inside
 
IVI AO WOOOOOOOTE WALIOZNGATIA UMRI NDOA ZAO ZNA FURAHA???
NA WOTE WALIOVUNJA SHERIA ZA AGE NDOA ZAO ZNA MATATIZO??????????
thk thk thk!!!!!
mwenye upendo achagui,haon ,abagui,upendo hauna macho wala hauna kipimo chochote
byeeeeeeeeeee
 
Ukipata mnunuzi wa pembe za tembo naomba tuwasiliane nafanya hiyo biashara nimeshapata wanunuzi wawili nahitaji mmoja wa ziada
 
tatizo la kunywa mi-budweisser hili, sielewi hata hii sredi ianhusu nini

umri? maini hayazeeki na huyo mchungaji naye sijamuelewa, kuna watoto wana miaka 22 lakini wamezeeka mbaya na pia mwanamke akiwa hajipendi anazeeka sana. umri wa mwanamke unaweza kuonekana mdogo zaidi if a woman observes good healthy living na kujali balance ya mwili kwenye mafuta na hormones

tukija kwa wanaume pia, if we dont take care of our bodies, tunazeeka na kuwa deformed

i think age may be relative if we dont live healthy

na haya ya kutembea pamoja ni hulka tu....

AGE MATTERS BUT NOT THE ONLY FACTOR
 
Cousin Tanganyika Masagati kunanini tena huko?
 
tatizo la kunywa mi-budweisser hili, sielewi hata hii sredi ianhusu nini

i think age may be relative if we dont live healthy

AGE MATTERS BUT NOT THE ONLY FACTOR

Age ni appearance, mvi au number of years since birthdate? :nono::nono:kama ni appearence basi wengi watakuwa wazee maana kuna midume mvi kibao uso makunyanzi kupita kiasi kitambi hicho....
 
IVI AO WOOOOOOOTE WALIOZNGATIA UMRI NDOA ZAO ZNA FURAHA???
NA WOTE WALIOVUNJA SHERIA ZA AGE NDOA ZAO ZNA MATATIZO??????????
thk thk thk!!!!!
mwenye upendo achagui,haon ,abagui,upendo hauna macho wala hauna kipimo chochote
byeeeeeeeeeee

ondoka na hii hapa signature

A diplomat is a man who always remembers a woman's birthday but never remembers her age. Robert Frost

Byeeee mamie tukutane Kwa Idd kalabashi......kwa ajili ya mambo yetu ya body language..
 
Are u coming for Edd? Nina korosho zako njoo uje kuongeza kipimo cha hiyo kitu unayorelease
 
avatar24628_4.gif

Huchoki D kudooo the nidful
 
Back
Top Bottom