WiseLady
JF-Expert Member
- Jan 22, 2010
- 3,268
- 531
mwanajamii one uko poa............!
ni kweli umri unamatter sana katika mahusiano kwani kwa ninavyoelewa mimi wanaume huwa na nguvu flani mpaka miaka 80 wakati wanawake hupoteza nguvu na hamu huanzia miaka 45-55,ndio maana siku hizi ndoa nyingi hupata matatizo na kupelekea wanaume kutoka nje kutokana na hili suala la watu kuoana oana tu hata kama wamepitana miaka miwili.
ushauri kwa wanawake.
jitahidi angalau mpenzio akupite miaka kuanzia 10 hadi 25 utayafurahia mapenzi
Mmmh!:doh: