Dodoso refu Vs fupi

D2K

Member
Nov 21, 2010
11
1
Habari za asubuh wana Jf,kiukweli hizi habari za sensa zimenichosha ila inanibidi tu niulize kutokana na kukosekana kwa ukweli wa mambo kutoka kwa hawa watu waliopewa dhamana ya kusimamia ili zoezi huku ngazi za chini.
Huku kwetu bado ha2jaanza semina na ambayo hapo awali 2liambiwa 2ngeanza leo na badala yake jana wame2bandikia tangazo ku2ambia eti tutaanza j4 tarh 14 na itachukua cku7 kwa kuwa ni ya dodoso fupi, je kuna ukweli wowote hapo kuwa wa2 wa dodoso fupi wanatakiwa kuwapo semina kwa cku7 tu.??
Na lingine ni kuwa huku kwe2 wa2 wote 147 tuliochaguliwa tumeambiwa kuwa wote tumechaguliwa kwa dodoso fupi tu hata kama uliomba kwa dodoso refu,na tulipohoji 7bu tukaambiwa kuwa kata yetu(Mikocheni) ina wa2 wachache hivyo dodoso refu hutumika mahala penye wa2 wengi, je kuna ukweli wowote hapo..???
NAOMBA KUWASILISHA.
 
Hapo hakuna ukweli wowote mbona maeneo meng wamehahrisha na bila kutoa taarifa zozote wa2 2nafika mpaka vi2on hafu ni mbali kuliko wakuta hakuna ki2 and no any information.But hata wa refu hakuwa fanya baadh ya maeneo.Me nahc wana mpango wa kuchakachua hela mana semi yatakiwa cku 11,JE 2TAFIKA???
 
Mkuu umepangiwa chumba namba ngapi hapo Kambangwa, mie naripoti chumba no. 3.
 
Hiyo taarifa ni ya kweli,mimi nipo dodoso refu wakati wa semina kuna vitabu maalumu ambavyo vimeandika kwamba dodoso fupi mafunzo yatachukua siku saba(ukurasa wa saba) na ukurasa huohuo unasema dodoso refu mafunzo yatachukua siku kumi.
Kuhusu dodoso refu kuna maswali 62 ambayo kuna baadhi yapo kwenye dodoso fupi. mambo ambayo wanayataka inawezekana hayapo kwenye kata yenu
 
  • Thanks
Reactions: D2K
Back
Top Bottom