Uchaguzi 2020 Dodoma yazizima kwa Maandalizi ya Lissu kuchukua fomu 8.8.2020

Kesho mtafumuliwa, tume ya Taifa ya Uchaguzi imeishatoa utaratibu wa kuchukua fomu hakuna maandamano.
Mbona kama umepanic? Mkuu hizi ni siasa tu, usipandishe kisukari bure ukawapa shida unaowategemea. Relax, sote ni watanzania.
 
Asante sana mkuu
 

Tundu Lisu na wanacdm wamepita hapo kwenye nilichokisema, wote wamejua nimeeleza nini. Nimetumia lugha ya picha kuwa tunataka bondia anayepiga ngumi kali na za moto, ila ngumi hizo zisiwe za chini ya mkanda maana hazitoi maksi, na zinapunguza maksi. Kama una uwezo wa kuelewa basi ufafanuzi ndio huo.
 
Kosa kubwa alilofanya Magufuli ni kukaa kimya baada ya Lissu kushambuliwa kama mwanasiasa alitakiwa atoe tamko hata kinafiki..inaenda kumdondosha mapemaaa

Hahahaha wetu utakuwa mgeni humu au wamitandao hahaa ngoja nikuonee huruma
 
Hili la mabeberu km ndiyo 'brainwasing' propaganda kwasasa imepitwa na wakati. CCM mkikwama kitu mnasingizia mabeberu, kwani mabeberu wanahusika vipi na sera za majukwaani ambazo ndizo zinasababisha biashara zife na mkwamo wa kiuchumi. 'Any decision you make in life you are responsible for it'. Do not blame others for your failure to solve promblems through your same level of thinking
 

Mpaka uchaguzi upite utakuwa umekonda vibaya. Huyo unayempinga ana nyota kali. Kwa pointi hizo wala hummalizi.
 
Tena hiyo propaganda imekufa kifo Cha mende
 
... kwa lipi lissu kaifanyia Tanzania na watanzania hadi wampe heshima ya kiongoza nchi yetu?
Hakuna mtu anayeyeza kuifanyia vitu vizuri nchi bila ya kuwa na mamlaka ya kodi inayokusanywa kutoka kwa wananchi. Tofauti inayolinganishwa huwa ni namna ya kuyapangilia makusanyo ya fedha yaliyopatikana. Au ulitaka Lissu atifanyie nchi vitu vizuri kwa ruzuku ya CHADEMA?
 
Hajitambui huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…