DODOMA wameweza, MOSHI, MBEYA na MWANZA tuige!

DODOMA wameweza, MOSHI, MBEYA na MWANZA tuige!

NKUU SINDE KWETU

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
830
Reaction score
91
Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.

Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.

CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.
 
Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.

Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.

CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.

Nadhani ujinga uliofanywa na KUB mjengoni nisomo tosha kuwa CHADEMA hakuna watu bali viatu.
 
Kwa hiyo sasa hivi Dodoma kuna maendeleo...? Utayalinganisha na Moshi, Mbeya na Mwanza,...?
 
Umechanganyikiwa?..

Naona unadhani watanzania wote ni shemeji zako, hata hujatofautisha...au wewe ni jangili pia?..mfanyabiashara ya mihadarati?...fisadi?...basi kama si moja ya hawa wewe utakuwa mwendawazimu unahitaji msaada wa hali ya juu

maendeleo ya haraka yako wapi ikiwa sasa ni nusu karne ccm iko madarakani?..poor mind
 
Nikwasababu CCM iliwanyima elimu, na sasa wameamka, uchaguzi wa serikali vijiji vya Mphangwe na Mlongia CCM imepigwa chini kwa asilimia nyingi huko dodoma mwezi uliopita..
 
Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.

Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.

CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.
mmh kuharakisha maendeleo kama dodoma au? mara yangu ya kwanza kukanyaga dodoma sikutaka kuamini kuwa ndo ipo vile, nafikiri dodoma inaweza kuwa tatu bora kutoka mwisho kwa mikoa yenye maendeleo
 
mmh!! Kule mikoa ya kusini mbali na kupigania uhuru wa Tanganyika na kuichagua CCM miaka yote toka Uhuru na bado wana maendeleo duni na juzi kichapo cha gesi wamekipata.

Kule Moshi, wale wachaga walishaikataa kabisa CCM na bado wanakula mema ya nchi kuanzia Maji safi, Umeme nk
 
sijawahi kuona mchaga ---- kama wewe.na nikikuchunguza hujalelewa na wazazi.Moshi unaweza fananisha na dodoma iliyojaa vumbi?
we kweli mlevi wa gongo
 
Maendeleo gani dodoma?au unataka nikutukane kwa kigogo maana mimi ni mzaliwa wa huko,nina uchungu sn na shida wanazozipata ndugu zangu na wazazi wangu,Mwene wina matope agwe?Toko lyako,nimezaliwa Jimbo la mtera ambalo wamempa Kichaa Lusinde ambaye ana elimu ya darasa la saba AKILI NDOGO INATAWALA AKILI KUBWA
 
Habari wana JF!
Ninafurahishwa sana na wapiga kura wa mkoa wa Dodoma kwa kuipa CCM ushindi kila chaguzi.

Natamani watu wa Mwanza, Mbeya na Moshi waige mfano huu ili kuharakisha maendeleo katika mikoa yetu hiyo.

CCM bado ndio chama IMARA Tanzania.

Lazima kuna ka ugonjwa kanakusumbua asee au ni kawaida yako kutokujielewa?


Hiyo Dodoma kimaendeleo inafikia hata nusu ya Mwanza Mbeya au Moshi?? Au ni hizo barabara za lami zilizowekwa mwaka huu ndo zinakuchanganya??? 😏
 
Vijana wa CCM hasa watoto wa vigogo waishio hapa US wamepewa fedha lukuki ya kuishi bure hapa USA huku wakitoa maneno ya kufuru kuu kwa Watanzania wenzao.Wanadai kwamba Vigogo na Mafisadi wa CCM wanafedha nyingi mikononi mwao ambayo Watanzania wakae wakijua kwamba utawala wa CCM nchini Tanzania kamwe hauwezi kukoma. Fedha walioyonayo wapinzania watakuwa historia hivi karibuni.

kazi ya vijana hawa walevi wa ngawira na wajivuni kiburi ni kuwahadaa vijana wenzao kwamba CCM is here to stay sababu tu CCM wana fedha nyingi ya kufanya jambo lolote lile wanalotaka kwa Mtanzania yeyote yule bila kujari anaridhia au la. Wanadai kwamba wamefanikiwa kuiba fedha ya kutosha kujenga himaya yao hata miaka 1000 ijayo.

Vijana watoto wa wazee wa CCM ambao miaka miwili tu iliyopita walikuwa wakisota kwa kazi za kubeba box la mzungu au kusafisha makalio ya vijizee vya kighaibu, sasa hivi wana fedha kiasi cha kuishi bila kufanya kazi huku wakitanua kwa starehe za matawi ya juu hapa USA.
CCM wana pesa za WIZI siku zote, iweje sasa wameamua kuwatangazia vijana kwamba wao wana pesa na ni lazima waendelea kutawala??m
Vijana hawa wanawarubuni vijana wenzao kwamba Maendeleo ya kweli ya Tanzania yataletwa na CCM pekee vyama vya upinzani ndiyo chanzo cha matatizo Tanzania. Hata kushuka kwa kiwango cha elimu Tanzania kunasababishwa na vyama kama CHADEMA na NCCR mageuzi kivipi? hata hawaelezi.

KWa nadharia hii nyepesi ya Makada Mamruki wa CCM naamini kabisa kwamba CCM imebwia BWIMBWI la madaraka na utukufu sasa imejisahau kabisa kwamba sela yake asilia ilikuwa ni wananchi wa hali ya chini waliojaa tele huko vijijini.
Ile alama ya Jembe na Nyundo kwenye bendera ya CCM ikibadirishwa na kuwekwa AK47 na Jambia au FUVU na Mifupa italeta maana zaidi katika propaganda mpya.
 
sijawahi kuona mchaga ---- kama wewe.na nikikuchunguza hujalelewa na wazazi.Moshi unaweza fananisha na dodoma iliyojaa vumbi?
we kweli mlevi wa gongo
Bora umesema. Sio Mchagga huyu, Mgogo
 
Uzoefu unaonesha kuwa CCM ina nguvu sehemu ambako wananchi wake wana uduni wa hali na mali, ikiwemo elimu duni!!!!!!
 
Nadhani ujinga uliofanywa na KUB mjengoni nisomo tosha kuwa CHADEMA hakuna watu bali viatu
Nadhani kwa weupe kichwani unaongoza; unawezalinganisha matonya na mjasiriamali. Ndio maana watu wenye akili zao ndani ya CCM wako kimya. Wanalia popobawa aliyewaingilia atatokaje. Ndio maana wanaosimama na kuongea ni wale ambao hata hawajulikani mimba zao zilitungiwa wapi? Ambao wengi wako humu.
 
R.I.P Matonya! Msamehe huyu jamaa anafikiria anticlockwise
 
Back
Top Bottom