Dodoma: Serikali yajipanga kupangua Ripoti

Tunataka hoja zijibiwe,sio kujibu mapigo kwa kukashifu,kwamba ooh Zitto alipewaga hiki,ooh katumwa na Mkono.hapana jibu hoja kwanza
 
Watasikilizwa, lakini hata kama walicho nacho ni ukweli itakuwa ni vigumu sana kuaminika kwani muda muafaka umepita sana. Jambo hili limeshasogea mbele mno. Hata kama watabaki madarakani lakini adhabu dhidi yao itaendelea kupitia majukwaa mengine yasiyo rasmi, na hiyo ndio adhabu mbaya kuliko kuachia ngazi ili wapumzike kwani hawatazungumzwa!!They have reached a point of no return!
 
Walikosea jana kuacha zege lilale... Mi nilihisi tu
 
Baada ya jana PAC kuwasilisha Ripoti ya Escrow,leo ni zamu ya Serikali. Serikali imejiandaa kupangua hoja za PAC. Kujisafisha na kuepusha kuvunjika kwa Serikali. Mikutano mbalimbali ya ndani imefanyika kuamkia leo kujiandaa na mpambano wa leo. Imeafikikiwa kuwa kila mmoja ajibu mapigo yake.Akishindwa ajiuzulu mwenyewe.

Watajwa wa jana wamejipanga na kupangika. Wamewekana sawa mahali fulani fulani. Walipeana tuition usiku kucha. Hakuna hata mmoja,kutokana na vikao vya jana usiku, aliye tayari kujiuzulu kama ilivyopendekezwa na PAC.Na leo wataanza wao kabla ya Mjadala wa Wabunge wote. Kuna nyaraka wamezipata toka sehemu mbalimbali na wameapa kuzitumia kujilinda.

Leo ndiyo leo. Usicheze mbali,unga robo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (Dodoma kwa kazi maalum)

Sasa nimeamini Waafrika na hasa watanzania tuna ndefu sana. Nilitegemea sana kumuona Muhongo na wenzake wana take responsibilities. Muhongo anaogopa kujiondoa ? Mwache aondoshwe .
 
Baada ya jana PAC kuwasilisha Ripoti ya Escrow,leo ni zamu ya Serikali. Serikali imejiandaa kupangua hoja za PAC. Kujisafisha na kuepusha kuvunjika kwa Serikali. Mikutano mbalimbali ya ndani imefanyika kuamkia leo kujiandaa na mpambano wa leo. Imeafikikiwa kuwa kila mmoja ajibu mapigo yake.Akishindwa ajiuzulu mwenyewe.

Watajwa wa jana wamejipanga na kupangika. Wamewekana sawa mahali fulani fulani. Walipeana tuition usiku kucha. Hakuna hata mmoja,kutokana na vikao vya jana usiku, aliye tayari kujiuzulu kama ilivyopendekezwa na PAC.Na leo wataanza wao kabla ya Mjadala wa Wabunge wote. Kuna nyaraka wamezipata toka sehemu mbalimbali na wameapa kuzitumia kujilinda.

Leo ndiyo leo. Usicheze mbali,unga robo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (Dodoma kwa kazi maalum)

Kwani wanatakiwa wajitetee kwa nani? Aliyewateua ndiye Mwenye mamlaka ya kutekeleza au kutotekeleza ndie nadhani anaweza akaueleza umma wa Tanzania kuwa wasimsumbue vijana wake hawana makosa au vinginevyo.
 
Manyang'au hayana mshipa wa aibu wala uwajibikaji.

hili linaonekana ni tatizo lilioota mizizi katika nchi yetu, mfano huko chadema unakaribia mwaka wa 20 sasa ila wagombea urais ni wale wale
 
Baada ya jana PAC kuwasilisha Ripoti ya Escrow,leo ni zamu ya Serikali. Serikali imejiandaa kupangua hoja za PAC. Kujisafisha na kuepusha kuvunjika kwa Serikali. Mikutano mbalimbali ya ndani imefanyika kuamkia leo kujiandaa na mpambano wa leo. Imeafikikiwa kuwa kila mmoja ajibu mapigo yake.Akishindwa ajiuzulu mwenyewe.

Watajwa wa jana wamejipanga na kupangika. Wamewekana sawa mahali fulani fulani. Walipeana tuition usiku kucha. Hakuna hata mmoja,kutokana na vikao vya jana usiku, aliye tayari kujiuzulu kama ilivyopendekezwa na PAC.Na leo wataanza wao kabla ya Mjadala wa Wabunge wote. Kuna nyaraka wamezipata toka sehemu mbalimbali na wameapa kuzitumia kujilinda.

Leo ndiyo leo. Usicheze mbali,unga robo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (Dodoma kwa kazi maalum)

Tatizo inawezekana ukajiona unajibu mapigo kumbe ndiyo unazidi kujikandamiza,Haya bado tupo karibu na TV na 😛opcorn:tukiendelea kungalia EPISODE II ya ESCROW Account
 
Baada ya jana PAC kuwasilisha Ripoti ya Escrow,leo ni zamu ya Serikali. Serikali imejiandaa kupangua hoja za PAC. Kujisafisha na kuepusha kuvunjika kwa Serikali. Mikutano mbalimbali ya ndani imefanyika kuamkia leo kujiandaa na mpambano wa leo. Imeafikikiwa kuwa kila mmoja ajibu mapigo yake.Akishindwa ajiuzulu mwenyewe.

Watajwa wa jana wamejipanga na kupangika. Wamewekana sawa mahali fulani fulani. Walipeana tuition usiku kucha. Hakuna hata mmoja,kutokana na vikao vya jana usiku, aliye tayari kujiuzulu kama ilivyopendekezwa na PAC.Na leo wataanza wao kabla ya Mjadala wa Wabunge wote. Kuna nyaraka wamezipata toka sehemu mbalimbali na wameapa kuzitumia kujilinda.

Leo ndiyo leo. Usicheze mbali,unga robo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (Dodoma kwa kazi maalum)

Ni kweli mzee Tupa Tupa yote yanawezekana. Lakini je, Serikali ya JK inao uwezo wa kuendesha chaguzi 2 zilizopo mbele yake bila misaada toka nje? Miezi mitatu tu toka misaada imekatwa ni kama shughuli zote serikalini zimesimama. Watawalipaje watu waliowapa tenda? Watanunuaje madawa? Wanaweza wakapangua kwenye bunge hili ila bunge lijalo hawataweza kujibu maswali.
 
Hawa watu wamesafisha kinyesi ila bado harufu inawasaliti. Sasa yale mabilion waliojiwekea katika akaunti zao akina Chenge na wenzake Tibaijuka na wengineo wamepewa kwa kazi gani? au ni malimbikizo ya mshahara? au kuna viwango vipya vya mishahara kwa watumishi wa Umma??? watueleze aisee. 2015 na KATIBA ndio mwokozi wetu sisi wananchi. Tuwe makini ikifika muda wa kuchagua RAIS na KATIBA pia kuipinga kwa pamoja la sivyo yatatokea yale yale tu watu watajiuzuru baada ya wiki 3 wanapewa madaraka mahala pengine.

Mgavi Fulani.
 
Nilijua ni lazima waje kusema hivi, lakini bado naona haitoshi. Hata Mathayo David na Kagasheki walijitetea hivihivi wakati wa kashfa ya Operesheni Kimbunga na mwisho wa siku wakang'oka wote.
Ova
 
hili linaonekana ni tatizo lilioota mizizi katika nchi yetu, mfano huko chadema unakaribia mwaka wa 20 sasa ila wagombea urais ni wale wale
CHADEMA imewahi kusimamisha wagombea urais mara mbili tangu ilipoanzishwa yaani Mbowe na Dr. Slaa, sasa unaposema ni wale wale una maana gani?
 
Back
Top Bottom