johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,534
Kinachoisumbua serikali na wanachohangaikia sasa ni namna ya kulisafisha kanisa katoliki na MKOMBOZI kwa tuhuma zilizopo. Watu na hata baadhi ya wabunge wanafikiri hekaheka hizi ni za kuwanusuru MUSOMABOYS na Pinda, Hapana hawa si muhimu na wanaweza kung'olewa tu, tatizo ni je Taswira ya Kanisa inasafishwaje mbele ya jamii kwa upuuzi uliofanywa na AG! KANISA ni muhimu kuliko CHAMA mbele ya SERIKALI!!!!