Jembebutu
Senior Member
- Feb 14, 2017
- 100
- 272
Asalaam!
Ninaishi Arusha. Mambo ni magumu sana ndugu zangu asikwambie mtu kaskazini hakufai.
Nimejaribu kuwaza kuhamia jiji mojawapo kati ya Dodoma au Dar. Ninafikiri katika wigo wa kibiashara na urahisi wa miundombinu.
Nadhan kama Dodoma is promising ila naona kama Dar kuna nafasi zaidi ya kupata pesa kwa kubuni biashara fulani. Mnaonaje wakaazi? Ninakamtaji kidogo and I have to choose either.
Please advice.