Dodoma ni kutamu jamani

Aisee dodoma Ina vyuo vingi mno
 
Sijawai ona tofauti
 
Sijawai ona tofauti hata wanafunzi wakiondoka
 
Dodoma kuna ARENA ina jengwa ?! Sijawahi sikia hiyo mkuj
 
Wewe tu hata wakiwa mbili mambo Madhuri ni mengi yanakuja
 
Kuhusu pisi Kali ni kweli mfuko wko tu ukimpeleka kula kuku wa kuchoma jua ni wako huyo , ila kuhusu ushoga hio nakataa labda iwe wale wa kutoka magomeni wamewafata wateja wao huku , hata hivo ushoga haumpendezi mtu iwe kijana mdogo au Mzee , ushoga ni ushoga tu upigwe vita
 
Moja ya mikoa ambayo sasa naiweka kwenye ratiba zangu nikipata hata pumziko la siku Moja ni dodoma aiseee Kuna sehem Kuna supu ya ulimi ni noma kweli kweli
nishapajua hapo
 
Dar ni kimbilio la wengi waliopoteza maisha.....na ndio mji Tanzania maskini wa kwanza na tajiri wa kwanza wanaishi.....
 
1 (Dar)
2 (Mwz)


Dom
N.k
 
Hio ni kawaida hata mini mingi mikubwa hua Iko hivo , sio kwamba dar ndio kutamu hapana , kwa joto la dar aisee ule mji siuwezi siku Moja nipo kwenye gari maeneo ya daraja la kijazi Ile halufu iliokuwepo pale sijawai isikia dar kuchafu mno
Usiilinganishe Dar na hilo kichaka...
 
SIPAPENDI........kisasa,nkuhungu,bahi road,Area c,Area D,Nala,mlezi,jamatini,ndio pakusifiwa hivi?mbona ukame sijauona ukiusifia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…