Endasak Masqaroda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,565
- 3,664
Na umuch know wote huo hujui kuandika Kiswahili?Sasa dar ni ndoto kwa mtu wakuja kama wewe , mimi hakuna sehemu dar naweza pamisi , nimekaa maeneo mengi mno , kuanzia kinondoni kwa masonga Hadi mwananyamala Hadi msasani maandazi load , kawe ukwamani tegeta kwa ndevu uje mikocheni b , sinza ,makumbusho uje tabata maeneo ya Shima , mbezi luisi kabla hata saint Joseph haijajengwa , tuje goba center pale lound about kwenda mlimani city kalibu na msikiti ,Leo mtu Anaona goba pakishua na kipindi kile ukimwambia mtu unakaa goba hakuangalii mala mbili ni bush mixer ngedere tu , mbweni jirani na hospital ya misheni kote nimekaa , ila nyinyi washamba wa dar ndio mnaona mmefika , kule kimala wamejazana mangi kibao mastaarabu hukai kimara temboni kunanuka mavi ya ngo'mbe na nguruwe , mchaga mchafu sana anapokaa anafuga Kila kitu
Kimala, mala mbili, kalibu na msikiti, loundabout......what a fvck is this?
Ungekuwa dame unaniandikia hivi hapo hapo ni total disqualification na namba nafuta.
Dumb, deaf, blind
Moron, idiot.
Sorry Malafyale.
