DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi.

DODOMA: Nauza mbao za ujenzi na fenicha kwa bei rahisi.

MaduhuJ

Senior Member
Joined
Oct 7, 2024
Posts
113
Reaction score
123
Habari zenu wadau wa Dodoma. Karibuni ofisini (Jamhuri, shule ya sekondari) kuna mzigo wa mbao wa kutosha na Bei zetu ni rahisi sana!

2x2 - 2,300
2x3 - 3,300
2x4 - 4,300
2x6 - 6,500
1x4 - 2,300
1x6 - 4,300
1x8 - 7,300
1x10 - 13,000

Misumari inch 2, 3, 4 na 6 yote ipo kwa Tsh 3,000 tu kwa kilo na mabati yapo kwa bei rahisi sana.

Mawasiliano ya ofisi ni 0685249910 au 0746311251.

8b8ebf77-7cad-4598-a4c0-4147dace5a18.jpeg
f9f3ec0c-033e-4346-8c31-556e33c55c4d.jpeg
d16db93e-321a-4b90-8e35-e11dc505f224.jpeg
 
Attachments

  • 67A2E36A-7D96-434C-8377-EF566B79152D.jpeg
    67A2E36A-7D96-434C-8377-EF566B79152D.jpeg
    585.1 KB · Views: 6
Sawa Sawa Jamhuri Hapo Jirani Na Uwanja Wa Secondary
 
Niko biharamuro unaweza kufanya usafirishaji? Nipimie 50kgs za misumali 2inch na kgs 70 za misumali ya bati yenye tred rangi ya ugolo. Kisha piga hesabu nitumie mzigo
 
Niko biharamuro unaweza kufanya usafirishaji? Nipimie 50kgs za misumali 2inch na kgs 70 za misumali ya bati yenye tred rangi ya ugolo. Kisha piga hesabu nitumie mzigo
😃😂🤣😁😁😀😀😄😄😂😂🤣😁😁❤️❤️😃😂Umevuta Wewe
Hapo Bihalamuro Kwa Mheshimiwa Kulikoyela Kihigi
 
Niko biharamuro unaweza kufanya usafirishaji? Nipimie 50kgs za misumali 2inch na kgs 70 za misumali ya bati yenye tred rangi ya ugolo. Kisha piga hesabu nitumie mzigo
😂😂😂 boss umevurugwa nini. Mbona hela ya nauli tu ya mzigo tayari unaweza kununua mzigo mzima. 😂
 
Nikirudi huko ntakuchek ni mbao pori au za kupandwa Ni ft ngapi urefu?
Ni miti ya kupandwa (Pine/Msonobari) na zinatoka Iringa. Ni mbao zinazotumika kwa ujenzi (kenchi) na fenicha (kochi na vitanda). Urefu ni ft 12 ingawa hata ukitaka za ft 18 naweza kukuagizia kwa makubaliano.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom