Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,071
- 4,294
Heshima kwenu wakuu,
Mimi kijana mwenye umri wa miaka 24, ni fundi simu mzoefu kwa zaidi ya miaka miwili, nina uwezo mzuri wa kutengeneza simu aina zote kwa software na hardware.
Nahitaji mtu mwenye mtaji tupambane kwenye hii tasnia ya ufundi simu na uuzaji wa phone accessories mchongo unaolipa kweli kweli mpaka faida ya mpaka aslimia 60 ni kawaida sana wakuu kama kuna mtu anaweza kuwekeza mtaji tukafungua ofisi tukawa tunagawana percentage huku akijifunza ufundi pia itakua poa sana.
Au kwa wale wenye mitaji wako bize tunaweza ongea pia tukapiga pesa
Faida za kuwekeza kwenye mchongo huu
1. Faida kubwa mpaka mara mbili ya mtaji
2. Ngumu kufiliska kwani tunapiga pes a za ufundi pia
3. Rahisi kusimamia ata Kama uko bize
4. Utajifunza ufundi mbalimbali wa electronics kupitia Mimi
lazima utawaza kuhusu usalama wa pesa yako kwa huyu kijana usie mjua tena katika zama hizi za utapeli usijari kunao utaratibu mzuri tutaweka
Usiwe na hofu sana taking risk is inevitable
Even life itself it's a risk
Lakin watu wema na waaminifu bado wapo
Karibu Sana PM kwa walio serious na interested kwenye biashara hii isiyo na stress.