Dodoma: Mwigulu, Serukamba na Nkamia matatani!

Dodoma: Mwigulu, Serukamba na Nkamia matatani!

Network Search!>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!??????????????{{{{{{{{}}}}}}}}}||||||||||||++++------
 
wakishahojiwa,what next
huo ni usanii wa sisiem walishidwa kudhibiti ufisadi matusi ndio wataweza??
 
Kuna uwezekano mkubwa Wabunge Mwigulu Nchemba,Peter Serukamba na Juma Nkamia wakahojiwa na Kamati Maalum ya Nidhamu ya Wabunge wa CCM kwa kile kinachosemwa kuwa ni kukichafua chama-CCM. Wabunge hao,kwa nyakati tofauti,wamesikika wakitukana na kutumia lugha ya kuudhi Bungeni. Nani atawagusa watukanaji hawa? Taarifa zaidi zitafuata kadiri zitakavyopatikana. VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam(sasa Dodoma)
Kamati ya nidhamu ya CCM inaona hao wabunge wanakichafua chama bungeni wakati speaker na naibu speaker(wote ccm) hawalioni hilo...ccm kwa usanii
 
Hili ndio Bunge la ukweli.....bunge la Ukraine

529566_10200428088418024_512944390_n.jpg

hahaha hawa nao CHADEMA nini?
 
Kuna uwezekano mkubwa Wabunge Mwigulu Nchemba,Peter Serukamba na Juma Nkamia wakahojiwa na Kamati Maalum ya Nidhamu ya Wabunge wa CCM kwa kile kinachosemwa kuwa ni kukichafua chama-CCM. Wabunge hao,kwa nyakati tofauti,wamesikika wakitukana na kutumia lugha ya kuudhi Bungeni. Nani atawagusa watukanaji hawa? Taarifa zaidi zitafuata kadiri zitakavyopatikana. VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam(sasa Dodoma)
Sidhani kama ndani ya CCM kuna mtu hata mmoja mwenye jeuri ya kulisimamia hilo. Kama kweli kungekuwa na nafasi ya kamati ya nidhamu kufanya lolote, basi ingeshakuwa ilimchukulia hatua Lusinde baada ya matusi yake yale ya Arumeru.
To me, CCM na matusi ni chanda na pete. Na ninafikiri hii style ya sasa imesukwa na chama chenyewe kama mbinu mojawapo ya kuikabili CHADEMA. So sitarajii kwamba CCM kuna hata mmoja mwenye hekima ya kuweza kuhoji haya.
 
kuhojiwa tu mzee tupa tupa?
sidhani kama watawaoa adhabu yoyote zaidi ya kuwaambia msirudie tena
hasira zao zipo kwa chadema zaidi ili kuhakikisha hawatakuepo kwenye mikutano muhimu ya bunge
 
Hata wakihojiwa kwa muda wa mwaka mzima there will be no changes
 
Hiyo sio tetesi ya Bungeni hayo ni mawazo yako Mzee wa TUPATUPA tu kwani wale ndio waliojibu MASHAMBULIZI ya Upinzani wanatakiwa wasifiwe, unajua ukipigwa Shavu hili usingoje aua kugeuza la pili ni Jino kwa Jino
Mwenyekiti wao wa Chma aliwaambia mkisikia wanaleta huu na nyie jibuni sio kila kitu ajibu Mwenyekiti au Rais
Kwa hiyo hata Mitaani na kokote hata kwenye Mitandao wakileta uongo wajibiwe
wakidai RAIS ni mDINI wajibiwe Wakidai Serikali ni Hanit*** na wao waingizieni UZI ndio itakuwa balanced
 
Kuna uwezekano mkubwa Wabunge Mwigulu Nchemba,Peter Serukamba na Juma Nkamia wakahojiwa na Kamati Maalum ya Nidhamu ya Wabunge wa CCM kwa kile kinachosemwa kuwa ni kukichafua chama-CCM. Wabunge hao,kwa nyakati tofauti,wamesikika wakitukana na kutumia lugha ya kuudhi Bungeni. Nani atawagusa watukanaji hawa? Taarifa zaidi zitafuata kadiri zitakavyopatikana. VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam(sasa Dodoma)
in your dream.
 
Last edited by a moderator:
Ila nakumbuka kwenye kikao cha NEC Kikwete alimpa kibali Nchemba cha kutukana bungeni na kusisitiza wabunge wote wa ccm watumie style hii ya Mwigulu Nchemba kujibu hoja za chadema,

Style hii mpya ya Serukamba inaonyesha dhahiri kuwa inamfurahisha sana JK kama mwenyekiti wa CCM.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
...matusi ndo sela za CCM,Mwingula,Selukamba,Nkamia,Lusinde na magamba mengine yote yanapotukana yakuwa katika harakati za kutekeleza sela za chama..."DOMO LITOALO MANENO MACHAFU LIMELAANIWA"...
 
Leo tarehe ngapi tena? Manake nahofia isije ikawa ni siku ya fix na kusema uongo, ingawa siku ya wajinga tarehe 1/4 ilishapita.
 
Heshima ya mtu inategemea na jinsi anavyoutumia ulimi wake.Tatizo siyo la Mwigulu,Serukamba na Nkamia ni kiti cha spika kinachoitetea serikali hata katika mambo yasiyo na tija kwa taifa letu.Wananchi tunaona na kuwasikia wabunge wetu,mkumbuke hukumu yenu ni mwaka2015
 
Mbona mmemsahau yule mbwatukaji mwenye kinywa kichafu simkumbuki hata jina anawakilisha jimbo la mtera?
 
Mbona itakuwa maajabu ya Mwaka ! Kama Mwigulu alifumaniwa na mke wa kada mwenzake na hakukuwa na Karipio , sembuse hili la Matusi tena ya kutukana Cdm ! Kwanza CCM ipi yenye uwezo wa kufanya hivyo ? Kwani Nyerere amefufuka ?
 
Back
Top Bottom