Dodoma: Mwigulu, Serukamba na Nkamia matatani!

Dodoma: Mwigulu, Serukamba na Nkamia matatani!

Eheeee MULE MULE. Pale mjengoni wabunge wanakaa mbalimbali sana hata kumkunja mtu inachukua muda sana mpaka hasira inakwisha..
 
Nimemsikia Nape Nnauye akiwadanganya wakazi wa gairo(wengi wao hawana access na TV) kuwa chadema ndio wanaleta fujo bungeni. Niliona huruma sana na nikatamani kama ningekua na uwezo wa kuwajulisha ukweli wa mambo!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna kitu kama hicho kwa serikali yetu, ndoto tu hizo tena za mchana. na hata wakihojiwa usitegemee tofauti kati ya sasa na baada ya kuhojiwa.
 
Hawa hakuna sababu ya kuwahoji wala kuwasimamisha vikao kwa siku 5. Yule ambaye hana mume awaache tu waendelee kunogesha na mipasho maana tunahamu nayo sana kuanzia :high5:iramba hadi kondoa
 
hii ni njamaa ya chupaki na chakubanga kusawazisha mambo baada ya kuwaondoa Tunda na wenzake
 
Back
Top Bottom