Dodoma: Mwigulu, Serukamba na Nkamia matatani!

Dodoma: Mwigulu, Serukamba na Nkamia matatani!

Hili ndio Bunge la ukweli.....bunge la Ukraine

529566_10200428088418024_512944390_n.jpg
Duh! Najaribu kuchora picha ya bunge letu kama lingekuwa hivi ingekuwaje...
 
Hata mwenyekiti wao ana lugha za kuudhi aliwaambia wafanyakazi wana akili za ndege kong'ota na mbayuwayu....Karume aliwaambia wana akili za samaki..
Kumbe ni utamaduni wa masisiem kutukana.
 
NAKUBALIANA NA WEWE MIA KWA MIA.WANA SPECIAL ASSINMENT CDM MKAE MKIJUA.LAKINI CHA KUSHANGAZA:smile-big: WANAZIDI KUJINYEA.:smile-big:
 
Nani asiye jua kuwa matusi ni sunna kwa wana ccm mpaka mwenyekiti wao anawapa big up wanaotukana kuliko wengine
 
Hili haliitaji kamati au CCM kuingilia kati ni la kiti cha spika kuamua kuanza kufanya kazi kwa standardna kuachana na kupendelea chama chanke kwa vitu visivyo na maana wala tija!!!! kama makamu mwenyekiti anafanya madudu then kuna shida kubwa tuu
 
usione ccm wameacha misingi ya utu na heshima ya binadamu lakini inauma sana kuona chama cha Mwalimu Nyerere, Rashidi Kawawa, John Rupia, Amir Jamal, Zimbihile wakiwa supported na wazee kama Kaunda, Mandela, Kwame Nkrumah, Nasser .....alafu mbunge kutoka chama hicho akitamka hadharani tena ndani ya Bunge 'f..k yuo', na sio hivyo tu bali anamwambia mbunge mwenzie! Hapo hujagusia wanaoitana mbwa hadharani, kung'oa watu kucha ili kusingizia wengine.

Kusema kweli inasikitisha na sijui kama historia ya CCM itakubaliwa na wazee waliobakia na vijana wachache wenye uchungu ichafuliwe kiasi hiki.
Labda kama kweli tunayoyasikia yana mantiki kuwa wanataka kugeuza historia ya nchi!
 
Duh! Najaribu kuchora picha ya bunge letu kama lingekuwa hivi ingekuwaje...
Hawa hawataki upuuzi,
Speaker akileta ujinga wanamnyofoa kwenye kiti wanasema nae.
Bungeni hakuna polisi kuingia. Wananyooshana na heshima inakuwepo.

Korea kusini, kuna mbunge aliingia na bomu la machozi......aliona huu upuuzi sasa, wakiambiwa hawasikii, wanapitisha madudu tu!
akawavizia wakisema Ndiyooooo akalifumua....weeeeee!!!
 
Au wanakutana kuwapongeza na kuwalaani wale wa Chama cha Upinzani kwa "kufanya fujo" wakati wazee wanawasema vibaya wakati wa kuchangia hutuba ya Waziri Mkuu....??????
 
Huyu dr bana ni mtanzania kweli?udaktari wake alisomea wapi?kazakhistan? Lakini namjua ni gamba kubwa lao.nashindwa kuzielewa vituo vya tv vinavyompa air time kuchambua mambo.hakuna anachoongea.ndio mtandao wa ccm vyuo vikuu.ccm bhana! Kazi kweli kweli.
 
Kama Lusinde bado ni mbunge na matusi aliyoporomosha Arumeru, hao waliosema bungeni ndo watafanywa nini? CCM hawana utamaduni wa kuona mabaya. Kwao uovu ndo mwendo wa maisha.
 
Kuna uwezekano mkubwa Wabunge Mwigulu Nchemba,Peter Serukamba na Juma Nkamia wakahojiwa na Kamati Maalum ya Nidhamu ya Wabunge wa CCM kwa kile kinachosemwa kuwa ni kukichafua chama-CCM. Wabunge hao,kwa nyakati tofauti,wamesikika wakitukana na kutumia lugha ya kuudhi Bungeni. Nani atawagusa watukanaji hawa? Taarifa zaidi zitafuata kadiri zitakavyopatikana. VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam(sasa Dodoma)
hamna kitu, cha msingi ni kujitahidi kuwafumbua macho wapigakura.
 
Back
Top Bottom