Dodoma mitaa ipi ya kujidai?

Dodoma mitaa ipi ya kujidai?

Ila cape Town ya kisasa imevunja rekod wanataka kuuua malaika kabisa Sema cape town ya stand makelele mengi
Ya kisasa ni noma aisee sema kdgo expensive,na ndio sbb malaika itaendelea kuexist kidogo,alaf wahudumu wa malaika wahuni wanaongeza bei za vinywaji ukiwa juu..

Ila capetown ya town me nikienda pale nafata kuku tu yan..kuku choma zao zina viungo vzuri ukianza huachi..
 
Inategemea we ni mtu wa aina gani kwa wadhifa wako..upo na usafiri wako au utatumia usafiri wa bajaji au tax..ila kuanzia kesho ndio shangwe zinaanza..kwanza wajanja tunaenda festival ya nyama vyeyula kula mbuzi..mwambie mtu akuelekeze kama upo na private car kama upo na usafiri wa kawaida sio kesi kwenye coaster adi mnadani..kula nyama adi saa moja..ukigeuka nenda capetown kunywa beer mbili tatu then chomoka na bajaji au boda adi malaika kula rost ya kuku na beer then amua kama unaendelea au unarudi kulala..kama utaki kulala unachagua unapenda live band au mziki..kama wa live band me sina direction yake ila kama wa mziki ingia ngalawa pub pale nje ya club seven kula vitu ukiwa unasubiria mida ya saa saba club iive ukaburudike na marijali wenzio..mida ya saa tisa kama una ela panda dau na mtt wa kike kajilie adi jumapili..then amkia swimming pool st gasper au morena..enjoy your stay bro.huu ni mji wa ngono..ata kama sio mtu wa ivyo ukija dom kwa jinsi kulivyo na madem wakali utapagawa mwenyewe..
Khaaaaaah Una ratiba Kama zangu umetisha
 
Ya kisasa ni noma aisee sema kdgo expensive,na ndio sbb malaika itaendelea kuexist kidogo,alaf wahudumu wa malaika wahuni wanaongeza bei za vinywaji ukiwa juu..

Ila capetown ya town me nikienda pale nafata kuku tu yan..kuku choma zao zina viungo vzuri ukianza huachi..
Mzeee Wa viwanja swimming pool ya Morena inateleza chini Nashera ndo kila kitu alafu watu wachache raha tu
 
Back
Top Bottom