Dodoma mitaa ipi ya kujidai?

Dodoma mitaa ipi ya kujidai?

Inawezekana kabisa ww ndie mshamba halafu bado hujajigundua
Sawa mjanja wa dodoma

Pambana na vumbi na jua lenu.......... (linda macho yako tu)...

Usisahau lotion kutia glycerine ili kupunguza mpauko

(Leo wanadodoma mmepanic vibaya vibaya yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ila cape Town ya kisasa imevunja rekod wanataka kuuua malaika kabisa Sema cape town ya stand makelele mengi
Mkuu, last week nilienda pale Cape Town kisasa......... Duhhhh, kweli moyo wangu ulitapa raha mujarab. Kisasa papo poa sana
 
Ila kama upo vzuri mfukoni ukija tuchekiane ukaonyeshwe uzuri wa mji..hamna kutegemeana is just for compan an having fun
Naona unachukua tahadhari ya mizinga...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Hahah eeh..maana ckuiz adi vijana tunaenda kunywa alaf unategemea kidume mwenzio alipe..haina io usawa huu..
 
Back
Top Bottom