Dodoma mitaa ipi ya kujidai?

Dodoma mitaa ipi ya kujidai?

Four ways au ulanga lounge, kuna kuku choma+mbuzi hatari sana.
Vinywaji vya kutosha + Huduma zetu nazo zipo.
 
Nenda kwa Matei Area D kama unataka wa kununua wa kubadirishana nae mawazo!
Au Chako ni chako
 
Dodoma palivyo pabaaaaaayaa heri ulale hotelini ucheki series

Wadodoma msikasirike lakini ndio ukweli

Nadhani unakuwa hauna hela tu!
Nashera usiku
Matei usiku
Chako ni chako usiku
Stella usiku
Dodoma tamu sana wewe acha kabisa!
 
Nadhani unakuwa hauna hela tu!
Nashera usiku
Matei usiku
Chako ni chako usiku
Stella usiku
Dodoma tamu sana wewe acha kabisa!
Haina utamu wowote bana

Yaani hakuna mkoa sipendi kwenda kama dodoma........

Sijui hata mnaupendea nini
 
Ila kama upo vzuri mfukoni ukija tuchekiane ukaonyeshwe uzuri wa mji..hamna kutegemeana is just for compan an having fun
 
Napapenda sana
Stella kula varieties tu za nyama..ila kama unataka kula nyama nzuri..kwa kuku nenda kale capetown ya stand.na kwa makange nenda kale mwanga bar,kwa rost kuku kali nenda kale malaika..kiwanja kitam zaidi ya vyote ni capetown ya kisasa napapenda na matei papo vzuri tho panachuja kimtindo..
 
Nipo ndani ya Rose Garden hapa namtafuta huyo bibi ya chuga, kisha nichomoke kuelekea Club Lazizz kwa live band ya SAKI STARS pale nikamkute Kachoka na Yamodo wanikoshe mtima kwa nyimbo za wahenga.....
club laziz vp bend live ni lin na lin
 
Stella kula varieties tu za nyama..ila kama unataka kula nyama nzuri..kwa kuku nenda kale capetown ya stand.na kwa makange nenda kale mwanga bar,kwa rost kuku kali nenda kale malaika..kiwanja kitam zaidi ya vyote ni capetown ya kisasa napapenda na matei papo vzuri tho panachuja kimtindo..
Ila cape Town ya kisasa imevunja rekod wanataka kuuua malaika kabisa Sema cape town ya stand makelele mengi
 
Back
Top Bottom