Dodoma mitaa ipi ya kujidai?

Dodoma mitaa ipi ya kujidai?

Dom mji wa pakishamba big time sio siri. Kwa mihanjo ya usiku ukiacha hapo maisha club sehem zngine mbuzmbuz tu wala hazieleweki
Inategemea na vibes zako mzee baba, kama umezoea kula ulanzi na chibuku lazima upaone pa ovyo, hapa Matei sa hii tunakula Heineken tu, kama hauna pesa lazima upate ganzi.
 
Ila dodoma bado sana mitaa ya kujidai yani bado sanaa sio kama kule Jiji pendwa lenye sehemu pendwa
 
Habari za jioni wana jukwaa nimefikaa dodoma jioni hii kwaio nilikua na uliza Kwa wale wenyeji kuwa niingie mitaa ipi ili nami nifurahie kama mwanaume halisi
NENDA SHIMO LA NDIZI BAHI ROAD
 
Kiukweli dodoma nimezungukaa bado haoajachangamka sanaa japo kiasi kumechangamka ila Kwa speed hii one dodoma itakuja kuwa kama majiji mengine
 
Back
Top Bottom