Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,480
KabisaMkuu, last week nilienda pale Cape Town kisasa......... Duhhhh, kweli moyo wangu ulitapa raha mujarab. Kisasa papo poa sana
KabisaMkuu, last week nilienda pale Cape Town kisasa......... Duhhhh, kweli moyo wangu ulitapa raha mujarab. Kisasa papo poa sana
na mtanzania piaKeko kuna wale wa buku tano karibu sana
Nimetoka apo kama nusu saa iliopita miwatu ilikua inaangalia mpira i was bored ckua na company..alaf me na mpira vitu viwili tofaut.Hapa Cape town tunakula backet za Heineken kama hakuna kesho dadekiii, Dodoma tamu bana.
We upo wapi mkuu..unaishi mkoa gani?Dom mji wa pakishamba big time sio siri. Kwa mihanjo ya usiku ukiacha hapo maisha club sehem zngine mbuzmbuz tu wala hazieleweki
Zzzzzzzzzzz ,Nenda klab laaziz ukakonge roho na totoz za udom.
mi huwa napita sehemu tofautitofaut na kueksplore nit life. dom bado pakishamba sana.We upo wapi mkuu..unaishi mkoa gani?
Crdt unatoa kwa mkoa gani kwa upande wako..ukiacha jiji la starehe dar es salaam.mi huwa napita sehemu tofautitofaut na kueksplore nit life. dom bado pakishamba sana.
Hahaha mkuu kwan pale keko wale wanawake bado wapoKeko kuna wale wa buku tano karibu sana
Nilikua nachek mpira yani ilikua shangwe ile maana wap sasa???Nimetoka apo kama nusu saa iliopita miwatu ilikua inaangalia mpira i was bored ckua na company..alaf me na mpira vitu viwili tofaut.