Dodoma kwawaka Moto: Sendeka ageuka Mbogo

Dodoma kwawaka Moto: Sendeka ageuka Mbogo

Huyu Masai ana hamu sana na Sospeter Muhongo kutokana na lile tusi kwamba Sendeka hajasoma hajui lolote
 
Wewe ajuza humu ndani tunaongea Kiswahili si Kizaramo wala Kidengereko. Neno sahihi ni kujiuzulu.

  • udhuru - excuse
  • uzulu - abdication
Sasa amua mwenyewe which is which, acha uswahili wa Kariakoo.

Huo ni uchakachuaji wa lugha.
 
Naona uzi umeshabadilishwa - umekuwa wa kujadili makosa ya lugha!
 
Ole-Sendeka sasa nayeyey ajiuzulu km anaona Pinda anaonewa
na hii taarifa ni ya uogo kwani nipo viwanja vya Bunge na mchana Sendeka hakusema hivyo
 
Akachinje n'gombe zake hukokwake. Pm ndiokiongozi wa shughuli za serikali sasa huyumzee sijuianataka sofa au mini. Nabado minasubiri mvuane nguo nione matezi yenu dime.
 
Yote hayo yanatokana na neno udhuru.


Unajuwa maana ya neno udhuru?

Ni kweli lakini kwa muktadha wa hii habari, neno sahihi ni kujiuzulu japo sina uhakika kujiuzuru ina maanisha nini. Ila hilo la kuachia ngazi kuwa kujiuzulu sina shaka nalo.
 
Back
Top Bottom