Dodoma kwawaka Moto: Sendeka ageuka Mbogo

Dodoma kwawaka Moto: Sendeka ageuka Mbogo

Mjini Dodoma jioni hii katika cha Kokas kinachoendelea Seneka aamua kuwa Mbogo:

SENDEKA asema tutauana lakini PINDA hajiuzulu katu.
Kikao cha wabunge wa CCM kinachiendelea mchana huu kimekuwa moto mbali. Christopher Ole Sendeka mbunge wa Simanjiro amesema wako radhi kuchinjana bungeni lakini si Pinda kujiuzulu. "Ajiuzulu amekosa nini, ripoti zote hazimtaji popote kuhusika. Kama tatizo ni nia yake ya u Rais, kwani Pinda hana haki ya kugombea? Nasema niko radhi tuchinjane bungeni lakini si kuona mtu anasulubiwa kwa maslahi ya wabinafsi wachache wenye malengo yao ya kisiasa. Kwa hili nitasimama kidete. .."alisema Sendeka huku ukumbi wote ukiwa kimya

Huyu ndio mbunge wa wapi?
 
Sendeka jimboni wameshakufa watu. Sasa anataka kuhamishia mauaji bungeni? Raisi akimwondoa atafanya nini?
 
Kwa kweli hata mm japokua i hate ccm ila sio wote, kwa kweli kama pinda atajiuzulu utakua uonevu kabisa,maskini hii haiwezi kukubalika.
 
Yeye nyoka tu Kama wengine, aache unafiki wake....
 
Sasa umekosa hoja unaanza kuhororoja. Fanya adabu.
Ha ha ha eti nimekosa hoja. Mie au wewe? Si ulikuwa unatetea kodi ya serikali haikuibwa? Hebu niambie ni kwanini nisikuide wewe ni fisadi? Unakumbatia wezi, rafiki wa mwizi naye ni mwizi tu.
 
faizafoxy mama unaonekana hujui kiswahili. kiswahili sahihi ni KUJIUZULU. ungekaa kimya tusingejua kuwa hujui. sasa hapa ndo umeharibu umeonesha hujui.

Hicho Kiswahili cha bakita si Kiswahili asili.
 
Ukipata matokeo ya bwana Sendeka hautashangaa matamshi yake, elimu na uwajibikaji vinakwenda sambamba, anapingana na dhana ya uwajibikaji kama ambavyo ccm wanahubiri katika mikutano yao. Hapo ndio anapokosea wakubali kuongoza kwa mifano, kujiuzulu ndio msingi wa utumishi bora kwa kuwa mambo yameharibika mikononi mwake.
 
Kwanza olesenda hatakiwi kuchangia lolote kwenye hiyo ripoti ya pac,kwa sababu ana div 0 aka div 5,aache wataalamu wajadili
 
Back
Top Bottom