Dodoma kwawaka Moto: Sendeka ageuka Mbogo

Dodoma kwawaka Moto: Sendeka ageuka Mbogo

Huyo ndiye alie watumia akina Zitto na Kafulila msg za vitisho nini! Na sisi wananchi tukitamka maneno hayo tusiitwe wachochezi.

Hawa viongozi wa CCM wamelewa madaraka mpaka huwa wanaudhi....................... Halafu Pasco anadai utawala wa sheria Tanzania!! Angekuwa CDM au CUF huyo angeshatiwa ndani kwa ajili hiyo na kutafutiwa kesi!!
 
Last edited by a moderator:
Na wewe umekosea sio
ajidhuru, kujiudhuru bali ni
ajiuzuru na kujiuzuru
Mtoa mada alopokosea ni pale alipoweka "l" badala ya "r" basi

Ewe kijana, Kiswahili ni lugha mama kwangu, sikuanza kukisema nilipoanza shule.
 
Mjini Dodoma jioni hii katika cha Kokas kinachoendelea Seneka aamua kuwa Mbogo:

SENDEKA asema tutauana lakini PINDA hajiuzulu katu.
Kikao cha wabunge wa CCM kinachiendelea mchana huu kimekuwa moto mbali. Christopher Ole Sendeka mbunge wa Simanjiro amesema wako radhi kuchinjana bungeni lakini si Pinda kujiuzulu. "Ajiuzulu amekosa nini, ripoti zote hazimtaji popote kuhusika. Kama tatizo ni nia yake ya u Rais, kwani Pinda hana haki ya kugombea? Nasema niko radhi tuchinjane bungeni lakini si kuona mtu anasulubiwa kwa maslahi ya wabinafsi wachache wenye malengo yao ya kisiasa. Kwa hili nitasimama kidete. .."alisema Sendeka huku ukumbi wote ukiwa kimya

Mlioko Ddm, mshaurini huyo form 6 failure hata kama intellectually yuko very low lakini ajifunze kufikiri kwa kutumia ubongo badala ya kitambi! Mzee wa nyuki aondoke, kwani EL alikosa nini tofauti na hili?!
 
Wachinjane tuone sasa! Halafu you expect such stupid fools kwenda kusuluhisha migogoro ya wafugaji na Wakulima!!!! Pumbafu kabisaaaa
 
= hajiudhuru
= kujiudhuru
= ajiudhuru
Wewe ajuza humu ndani tunaongea Kiswahili si Kizaramo wala Kidengereko. Neno sahihi ni kujiuzulu.

  • udhuru - excuse
  • uzulu - abdication
Sasa amua mwenyewe which is which, acha uswahili wa Kariakoo.
 
Back
Top Bottom