Dodoma kwawaka Moto: Sendeka ageuka Mbogo

narenanyuki

Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
26
Reaction score
9
Mjini Dodoma jioni hii katika cha Kokas kinachoendelea Seneka aamua kuwa Mbogo:

SENDEKA asema tutauana lakini PINDA hajiuzulu katu.
Kikao cha wabunge wa CCM kinachiendelea mchana huu kimekuwa moto mbali. Christopher Ole Sendeka mbunge wa Simanjiro amesema wako radhi kuchinjana bungeni lakini si Pinda kujiuzulu. "Ajiuzulu amekosa nini, ripoti zote hazimtaji popote kuhusika. Kama tatizo ni nia yake ya u Rais, kwani Pinda hana haki ya kugombea? Nasema niko radhi tuchinjane bungeni lakini si kuona mtu anasulubiwa kwa maslahi ya wabinafsi wachache wenye malengo yao ya kisiasa. Kwa hili nitasimama kidete. .."alisema Sendeka huku ukumbi wote ukiwa kimya
 
Umemsikia vizuri au la. Mimi mbona bungeni niimsikia akikazania report ya PAC isomwe.
 
Mjini Dodoma jioni hii katika cha Kokas kinachoendelea Seneka aamua kuwa Mbogo:

SENDEKA asema tutauana lakini PINDA hajiuzulu katu.
Kikao cha wabunge wa CCM kinachiendelea mchana huu kimekuwa moto mbali. Christopher Ole Sendeka mbunge wa Simanjiro amesema wako radhi kuchinjana bungeni lakini si Pinda kujiuzulu. "Ajiuzulu amekosa nini, ripoti zote hazimtaji popote kuhusika. Kama tatizo ni nia yake ya u Rais, kwani Pinda hana haki ya kugombea? Nasema niko radhi tuchinjane bungeni lakini si kuona mtu anasulubiwa kwa maslahi ya wabinafsi wachache wenye malengo yao ya kisiasa. Kwa hili nitasimama kidete. .."alisema Sendeka huku ukumbi wote ukiwa kimya

Ole sendeka ataanza kumchinja nani????
 
Sendeka ndiyo maana alidharauliwa hata na profesa mwizi na muongo
 
hyo msen...ge tu,anafikr tz ni ya babake,k...ma....maye zake
 
Mjini Dodoma jioni hii katika cha Kokas kinachoendelea Seneka aamua kuwa Mbogo:

SENDEKA asema tutauana lakini PINDA hajiuzulu katu.
Kikao cha wabunge wa CCM kinachiendelea mchana huu kimekuwa moto mbali. Christopher Ole Sendeka mbunge wa Simanjiro amesema wako radhi kuchinjana bungeni lakini si Pinda kujiuzulu. "Ajiuzulu amekosa nini, ripoti zote hazimtaji popote kuhusika. Kama tatizo ni nia yake ya u Rais, kwani Pinda hana haki ya kugombea? Nasema niko radhi tuchinjane bungeni lakini si kuona mtu anasulubiwa kwa maslahi ya wabinafsi wachache wenye malengo yao ya kisiasa. Kwa hili nitasimama kidete. .."alisema Sendeka huku ukumbi wote ukiwa kimya

= hajiudhuru
= kujiudhuru
= ajiudhuru
 
alishawahi kuchinja wangapi? ajichinje walau kidole ili kwali tuone msimamo si maneno matopu
 
Kazoea kuchinja Mbuzi anadhani ni rahisi kuchinja binadamu,tusubiri tuone mwisho wa saga hii.
 
Wasiwasi wake tu,pinda yupo na ataendelea kuwepo mpaka mwisho.
 
Huyo ndiye alie watumia akina Zitto na Kafulila msg za vitisho nini! Na sisi wananchi tukitamka maneno hayo tusiitwe wachochezi.
 
Back
Top Bottom