Dodoma City In Photos

Dodoma City In Photos

Ijengwe banaa ili kuvutia watu weekend wawe wanakuja kulala na kula bata jiji la Dodoma. Hao omba omba watatishiwa na mitutu ya bunduki na mbwa wakali kama walivyotishiwa waliotaka kuandamana...
hahaaaaaaaaa ila huwajui wagogo siku moja nilisema ngoja niwakomoe nikasema leo nagawa elfu 5 nikaichengi 200 mbili kila ombaomba alieniomba nikawawa nampa nilianzia hospital ya general nakuja sifa stend ya sabasaba nilikuwa nimebaki na 600 sahivi sinaga time nao napiga kama siwajui vile
 
hahaaaaaaaaa ila huwajui wagogo siku moja nilisema ngoja niwakomoe nikasema leo nagawa elfu 5 nikaichengi 200 mbili kila ombaomba alieniomba nikawawa nampa nilianzia hospital ya general nakuja sifa stend ya sabasaba nilikuwa nimebaki na 600 sahivi sinaga time nao napiga kama siwajui vile

Hahahahahahaa hao walitakiwa watengewe eneo maalum la kuomba na hapo kila anayeenda kwanza anaingia na kingilio kuwashangaa watu wanaoishi kwa kuomba omba halafu unawapa chochote kitu ulichonacho hapo watakuwa wametolewa maeneo muhimu kama hapo Nyerere Square na maeneo mengine.

Ila.... wapo hadi kwenye lango kuu la kuingilia bungeni? Maana wanaoingia humo ni wakuu wa nchi na watu wazito aka wabunge wenye pesa zao....

Kama wapo basi watengewe eneo maalum zuri tuu. Na kama hawapo lango la bunge basi hata hapo square ni kiasi cha kuwadhibiti tuu.
 
Mmmh wagogo na warangi sasa , ila haki yenu kama mliyapitisha Ma CCM Ubunge yotee ni wakati wao sasa. MFANYE KAAAAAZI
 
hiv

hivi nani atapewa gari na akasema hawezi kuchukua kwa sababu hawezi kuendesha?
au nani atapewa nyumba aseme siwezi kuchukua hiyo nyumba kwa kuwa sina familia? lakini lililokubwa je unajua jinsi huu mji unavyopangwa au unauona kwa mazoea tu?
wewe kwenu sisi tumekuja lakini tunaona unakuwa na kuendelea kwa kasi mno!
Wangesubiri mji upate vigezo vinavyostahili mkuu,sisi hatukatai Dom kuwa jiji na tunapenda sana iwe hivyo lakini si kwa style hii. Huku ni kudhalilishana tu. Barabara za njia mbili zipo tatu tu ambazo ni;
1. Kuanzia round about ya jamatini mpaka airport haizidi hata 2km.
2. Kuanzia roud about ya jamatini mpaka stand ya zamani ya mkoa haifiki hata 1km.
3. Kuanzi round about ya bahi road mpaka four ways haifiki hata 3km.
Kweli mkuu, hio ni kwa upande wa miundombinu ya barabara bado mengine.
Siyo kwa style hii ya kuonana wajinga kila kukicha.
 
Naomba muiheshimu Dodoma kama Dsm na mwaka huu mwenyewe nahamia
31265604_844564072415599_8991707458028175360_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom