naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,988
- 5,503
Wakuu nadhani mmoja kati ya waliofurahia Dodoma kuwa jiji ni mimi tena nilishangilia kwa sauti hadi nikasikia vibaya maana wote niliokuwa nao walinishangaa maana tulikuwa tunafuatilia matangazo kwenye TV, ninachopinga ni kusifia kitu ambacho hakipo katika uhalisia wake na hii yote ni kudanganya wasioijua Dodoma