Dodoma City In Photos

Dodoma City In Photos

Hakuna stand ya mabasi.
Hakuna stand ya daladala.
Hakuna uwanja wa ndege.
Hakuna miundombinu ya maana.
Hakuna hata 5 star hotel hata moja.
Wenye mengine mtaongezea.
Kwani ulipo vipo au roho mbaya tu.......

Uwanja upo
Miundombinu unayotaka ni ya ghorofa 100 au
hotel tunayo Morena, nashera, whitesands inajengwa, st. Gasper hotel, dodoma hotel,
 
Hivi hii ni kama ile ya SA Mandela Square?

Hapo Nyerere Square kuna kitu gani zaidi ya huo mnara?
hapo kuna wapiga picha wengi kama nyuki ukipita tu wanataka upige picha na mwalimu hapo alafu uwalipe

pia kuna sehemu za kivuli za kukaa
 
Aaa! Nimechoka. Eti Dodoma ni JIJI!!!! Muwe mnapanda ndege kuangalia majiji ya wenzenu!
 
Wengi wanaponda Dodoma either hawajawahi kufika au wamepita kwenye basi miaka 5 iliyopita!!! Dom deserves to be a city!!! Viva Dodoma
 
QjTldHvNjax4uiBQueXz3ZoXdlcr3GxIc1P_At7pyy-Uowj5yeob7W5XiPrXMj4KmoOD6ZOUmrPfMYCmBkdMcBQtr989AoRQK2gplW-iTtPMVvN6HygzoYA51mDkKrNQVsOa1wJNlLkQ4Dic
Hii ni Thika Superhighway Nairobi.
 
hapo kuna wapiga picha wengi kama nyuki ukipita tu wanataka upige picha na mwalimu hapo alafu uwalipe

pia kuna sehemu za kivuli za kukaa

Vile wabongo tunapenda kushop. ... wangetujengea na shopping malls kama hapa SA.

Ila mdogo mdogo tutafika.
 
Hakuna stand ya mabasi.
Hakuna stand ya daladala. Dar wanazo
Hakuna uwanja wa ndege. Dar wanao
Hakuna miundombinu ya maana. Dar?
Hakuna hata 5 star hotel hata moja. 2 tu Dar
Wenye mengine mtaongezea.
Kuna baa maarufu za 5 star kama vile Chako ni Chako mkuu ila hotel labda Dodoma hotel
Sasa ile ubungo nayo utasema stand ya mabus? Dar yenyewe 5 star hotel 2 tu. Miundombinu gani Dar kule tandale au? Miji yote ya Tanzania inafanana tu tofauti ndogo sana ukiondoa Dar kwa ukubwa. Dar kubwa lakini sehemu nzuri ni 20% tu huko kwingine utasema uko chato tu.
 
Huyu mtunwenu asiefuata utaratibu wa sheria atawapeleka kuzimu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom