Eternal_Life
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 812
- 1,675
Stupidity..City gani,siasa tu
ngoja tuone lakini hata dar haikuwa ilivyo sasa wakati inatamkika jiji naamini thamani ya miundo mbinu ya wakati ule na sasa dodoma inaweza kuwa vizuri.Wangesubiri mji upate vigezo vinavyostahili mkuu,sisi hatukatai Dom kuwa jiji na tunapenda sana iwe hivyo lakini si kwa style hii. Huku ni kudhalilishana tu. Barabara za njia mbili zipo tatu tu ambazo ni;
1. Kuanzia round about ya jamatini mpaka airport haizidi hata 2km.
2. Kuanzia roud about ya jamatini mpaka stand ya zamani ya mkoa haifiki hata 1km.
3. Kuanzi round about ya bahi road mpaka four ways haifiki hata 3km.
Kweli mkuu, hio ni kwa upande wa miundombinu ya barabara bado mengine.
Siyo kwa style hii ya kuonana wajinga kila kukicha.
Unafahamu Dar es Salaam ilipopewa hadhi ya jiji ilikuwaje?Aise ila imekuwa mapema sana kupewa hadhi ya jiji....
Dodoma bado ni ka mji kadogo sana sikatofoutishi na musoma....
Hakika ni hivyo. Ndiyo maana yake. Wenyewe wanaoyapa hadhi majiji hayo hawana maana yana sifa kama zile za Paris, London, Manchester, Liverpool, Washington DC, New York etc.Ukitembelea nchi nyingine alafu ukirudi Bongo unaambiwa Tanga ni jiji, Arusha jiji, Dodoma jiji na Mbeya jiji unaweza kulia.
Ukimalizia Dar es salaam ambayo ukiwa angani iko kama Mogadishu.
Kweli ni majiji ya nchi za ulimwengu wa 3.
Hiyo sanamu si ya Bikira Maria. Ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Wana ruhusu kupiga picha hapo kwenye iyo bikiramaria?
Hiyo sanamu si ya Bikira Maria. Ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ila kweli hii ni kwa kiwango chetu nchi zinazoendelea (ulimwengu wa tatu). Na Dom itakuja kuwa jiji la mfano kwa Tanzania, sababu ina pangwa kulingana na mipango ya majiji ya kisasa. Japo ni mapema, tupende vyetuHakika ni hivyo. Ndiyo maana yake. Wenyewe wanaoyapa hadhi majiji hayo hawana maana yana sifa kama zile za Paris, London, Manchester, Liverpool, Washington DC, New York etc.
Hakuna jiji Tanzania labda Tanga lilopangwa kama Dodoma. Arusha, Mwanza,Mbeya na Dar kwenye mipango miji ni takataka kabisaIla kweli hii ni kwa kiwango chetu nchi zinazoendelea (ulimwengu wa tatu). Na Dom itakuja kuwa jiji la mfano kwa Tanzania, sababu ina pangwa kulingana na mipango ya majiji ya kisasa. Japo ni mapema, tupende vyetu
Umenena KiwikoHakuna jiji Tanzania labda Tanga lilopangwa kama Dodoma. Arusha, Mwanza,Mbeya na Dar kwenye mipango miji ni takataka kabisa
Mkuu muogope Mungu wengine tupo Dodoma, saidia jamii kuwaeleza vilipo? Mbali na katoto ka uwanja wa ndege vingine vipo wapi? Mkurugenzi kasema watajenga wewe unasema vipo Nani mkweli hapo?Labda 5 star hotel ndo hakuna, vingine vya juu yake vyote vipo!
Umesoma post au umekurupuka?Hahah, Kondoa ipo mkoa gani? Hahahah
Hii ngoma itakesha mkuu ahsante nashukuru1. Stand ya mabasi ipo nane nane (kwa muda) wakati stand mpya ipo kwenye ujenzi
![]()
![]()
![]()
2. Stand ya Daladala bado ipo jamatini
![]()
3. Uwanja wa ndege upo mbele ya 'chako chako' tena umeongezwa upana + urefu
kiasi kwamba ndege kubwa (baadhi) zinaweza kutua now days. Pia ndege zimeongezeka kutoka ndege 2 per day mpaka ndege zaidi ya 10 per day, next time usiandike kitu ambacho hauna uhakika nacho mkuu.
4. Hapo kwenye miundo mbinu ulikuwa na maanisha miundo mbinu ipo hiyo mkuu, kwa sababu kama barabara mpaka chang'ombe kuna lami [HASHTAG]#WeUnakwamaWapi[/HASHTAG], shule, hospitali, maji na umeme vinapatikana (japo sio bure). Au muundombinu unaojua wewe ni flyover peke ake??
5. Hapo kwenye 5 star hotel unaweza kuwa sawa coz Morena sio 5 star the same to Dodoma hotel.
Wale waleNzuguni international stadium na msalato international airport