Inasikitisha kama hali iko hivyo, ila hili la polisi kuogopa huo mtaa (kama kweli) mbona kama ni habari ya kufedhehesha sana???!!!
!
!
kil z m@zaf#kin polis...... acha wafe tu maamae zao. Nawamaindi kinyama.
Inasikitisha kama hali iko hivyo, ila hili la polisi kuogopa huo mtaa (kama kweli) mbona kama ni habari ya kufedhehesha sana???!!!
Ameonya wananchi na chuki dhidi ya polisi? me nadhan angeonya polisi na chuki dhidi ya watanzania!
Waueni tu hila kama nao wengikuwa wauaji km mnavyodai sidhani km mmengukuwa mnaandika utumbo huo kwa amani labda niulize kuna askar aliuwa raia akabaki salama na kazi yake si wote wapo jela? ss mnaposhabikia binadamu mwenzio kuuliwa we unajiona uko salama kbs?
Hapo ni sawa na nyani kucheka wakt chaka linawaka moto wkt jion atakosa pa kulala. Ebu tukemee maovu bila kujali ni nani wala nani kila raia ana haki ya kuishi na mungu hapendi tuwe wanyama kiac hicho.
Comes around!
Ni kweli walikosea kumtanguliza peke yake tena bila silaha. Huyo mtuhumiwa itakua ana matatizo ya akili nahisiKuna maeneo ni vitovu vya uhalifu kama niko sahihi na kumbukumbu zangu hilo eneo ni moja ya maeneo korofi sasa swali mpaka kunakuwa labelled kwa nini kuliachiwa.
Huyu askari alikuwa anapita njia au? Kama alitokea kituoni kwa nini alikuwa peke yake!? Kama ilikuwa ni lazima kwenda peke yake, usalama wake ulikuwa juu ya nani/ nini!?
Mchelea mwana kulia....
CCM ndiyo inayoleta haya mabalaa!Inasikitisha sana.
Watanzania huu sio utamaduni wetu.
.......comes aroundwhat goes around...
Tabby
Mimi naomba tutenganisha siasa na mambo mazito kama haya. Mimi naamini kabisa kinachotendeka sasa hivi ni jamabo zito sanaaaaa. Haijatokea hata siku moja wananchi wakamwua askari kikatili hivyo.
Hiyo siyo jadi na mila za Watanzania. Kuna kitu kikubwa sana kipo kinakuja na kitafika. Serikali inatakiwa iwe makini sana na mwendelezo wa vitu vinavyotokea sasa hivi.
Kwa mawazo yangu kinachotokea sasa hivi ni mwendelezo wa mtandao wa kuuawa kwa askari na kupokonya silaha kule Geita(? sikumbuki vizuri ni mwaka jana lilitokea), Tanga, Ikwiriri, na juzi juzi Morogoro. Polisi vilevile wamepigwa mabomu kule Songea mara kadhaa.
Huu ni mwanzo wa ngoma, inakuwa lele baadaye inakomaa. Boko Haram walianza kwa kuwaua Wakristo makanisani sasa wanawaua Waislamu wenzao.
Beware Tanzanians. Beware. Something is coming your way.
Yuko wapi mwangosi...yuko wapi kamuhanda...Yani mtu anakufa kwa kumuokoa mtoto aliyetakuuwawa na baba yake alafu mtu unaingiza uccm na ukawaa? Ivi tunafikiri vizuri kweli? Kwaiyo uyo mtoto angekufa msingelaumu police na ccm yake?
tubadilike ipo cku litakukuta sidhani kama utakumbuka ukawa,ccm,polisi au lipumba
Askari mwenyewe mbona kama mtoto vile